Episode 30:
Tuliishia Baraka akisimulia jinsi mali ya kichawi ilivyomtesa. Tuendelee...
"Nilirudi nyumbani huku nawaza kile kijiti cha kichawi, nawezaje kuishi nacho kama mke? Nikaambiwa nitafute wafanyakazi wasiopungua wanne. Nikampigia rafiki yangu mmoja wa kike, nikamwambia anitafutie 'machokolaa' wanne, kesho aniletee. Siku hiyo ikapita, siku inayofuata nikaletewa wafanyakazi."
"Baraka, mbona wafanyakazi wengi hivi wakati upo mwenyewe?" Yule rafiki yangu aliniuliza.
"Nyumba ni kubwa, sitaki kuwachosha." Nikamjibu. Yule mdada akaondoka akawaacha wafanyakazi.
"Siku ile ilipofika usiku, nililala nikaona kama mtu ananipapasa. Niliingia kwenye mapenzi matamu sana! Baada ya kumaliza, mimi nikajua ni ndoto. Ila ghafla nikasikia sauti nyororo ikiniambia: *'Asante Baraka, nime-enjoy.'*"
"Nilishtuka! Kuangalia pembeni, nikaona mdada mzuri sijawahi kuona tangu utoto! 'Wewe nani?' Nilimuuliza kabla sijapiga kelele."
" 'Mimi ndio kile kijiti ulichochukua kule kwa mganga, ndio mimi.' " 😳😳😳😳
"Mimi naogopa, naenda kulala chumba kingine!" Nikamwambia.
" 'Huwezi nikimbia hata ujifungie chumba kingine. Cha msingi, usikiuke masharti uliyopewa. Kila nitachokuambia, fanya. Sawa?' "
"Sawa malkia."
" 'Nenda kafungue pochi ile.' " Baraka akaenda kufungua pochi, alikutana na mihela imejaa! "Nilivyoona zile hela, nikasahau yote. Nikamfuata yule jini, tukalala mpaka asubuhi."
"Asubuhi nikaita wafanyakazi, nikawatambulisha yule ni mke wangu. Maisha yakaenda. Siku moja tupo chumbani usiku, akaniita: 'Baraka!' "
"Naam?"
" 'Inatakiwa uoe. Tunahitaji damu yako.' "
"Damu yangu kivipi malkia?"
" 'Tunataka vitoto vichanga, ila viwe damu yako. Halafu tunataka 'utelezi' wa sehemu ya haja kubwa ya mwanamke.' " 😰😰
"Sasa mimi huo utelezi naupataje?"
" 'Unavyomuingilia mwanamke kinyume na maumbile, ukimaliza futia kitambaa. Hicho kitambaa utakuwa unaniletea mimi. Ila jambo hilo wafanyie watu wasiozoea jambo hilo, usiende kuchukua wanaojiuza maana wanakuwa wametumika na watu wengi.' "
Daaah! Tulimuonea huruma Baraka anavyosimulia. Mume wangu Juma, waumini, na mchungaji walikaa chini; mambo yalikuwa mazito! Baraka akaendelea...
"Niliwaza nitawapata wapi wanawake wa aina hiyo wasiotumia sana. Nikapata wazo la kwenda mikoani kuwachukua..." 🙆🙆

Matangazo
Matangazo