Episode 20:
Nilimpigia Juma nikamwambia kila kitu.
"Wewe Amina, uamuzi wako ni nini?"
"Mimi nataka kurudi nyumbani, siwezi kuishi mitala. Ila nataka nipate hela ya kujengea nyumba huko na ya kufungua biashara."
"Sawa, ila nakuonea huruma."
"Usijali mpenzi, nitakuwa sawa."
"😳😳😳 Wewe Amina, umeniitaje?"
"Juma, mimi nakupenda sana. Huku niliolewa basi tu, ila upendo upo kwako. Nakupenda toka moyoni kabisa."
"Mmh acha utani, nakuheshimu kama mdogo wangu."
"Najua hivyo, ila jua ninakuja kuishi na wewe. Naomba usioe, utakuja kunioa mimi."
"Ila wewe umeolewa?"
"Sikai na Baraka, aliyonifanyia sina hamu."
"Sawa, kuwa makini."
"Sawa, nakupenda Juma."
"Nakupenda pia Amina, ila uwe makini."
Siku tano zikaisha, ikaja zamu yangu. Mwanaume anakuja saa nne usiku.
"Mbona umechelewa kuja?"
"Nilikuwa nakula mke wangu. Kama nipo mjini hawezi kula peke yake."
"Yaani hali huku kwangu? Leo si zamu yangu?"
"Hapana Amina, mke wangu sitaki aumie."
"Mimi ni nani kwako mbona unanivuruga?"
"Ni mwanamke ambaye napenda unizalie mtoto."
Daaah 🙆🙆🙆😢 aya maisha nitayaweza kweli?
Akaingia chumbani nikamfuata. Akapitiliza kuoga, akatoka. "Jitahidi huku chumbani kuwe na harufu nzuri, nunua manukato."
"Sawa." Tukalala. Kadamka asubuhi mimi nimelala, kajimwagia maji, kaacha laki nne kaondoka. Mimi kushtuka mtu hayupo, nachukua simu nimtafute nakuta SMS: *(Nimeenda kwa mke wangu, hiyo hela nunua na manukato).*
Mmh nikakumbuka mke wake anavyonukia mmmh! Sinunui chochote, hela naiweka. Siku ya pili akaja, akanikuta sijaunua akaniuliza, nikamwambia nilikuwa naumwa tumbo sijaenda.
Usiku kama saa nne akaniamsha, akaanza kunipapasa. Mara akanipelekea kidole kwenye tigo yangu, nikashtuka!
"Sasa unashtuka nini?"
"Mbona unapeleka kidole huko?"
"Kwani kuna shida? Wewe si mke wangu? Napapasa naingiza kidole tu."
"Hapana siwezi, mimi sitaki kabisa!"
"Eeeh! Sasa unadhani mume anapangiwa? Mume apangiwe? Mwache afanye anachojisikia yeye mpaka achoke."
"Mimi sitaki tafadhali, sawa?" Nikakunja sura.
"Sawa yaishe." Akatoa mkono tukashiriki kawaida. Asubuhi akaacha tena hela laki mbili akaondoka kabla sijaamka. Nikakuta SMS: *(Hiyo hela kanunue chupi nzuri).* 🙆

Matangazo
Matangazo