Episode 19:
Jamani alitembea kama twiga! Yaani mimi na matako yangu siingii ndani kwa yule mke wa Baraka, jamani mzuri mmmmh!
Nilitulia anavyokuja. Baraka akaenda kumshika mkono wakaanza kuja, niliumia ila sikujali sana. Akakaa, akaja mhudumu na juisi, glasi alilotumia sijawahi kuliona tangu nizaliwe. Na mimi nikaletewa juisi, glasi tofauti. Baraka yuko bize kumshika-shika mke wake, kanisahau kabisa.
"Karibu binti."
"Asante dada, shikamooh."
"Marhaba. Wewe ndo Amina?"
"Ndio."
"Sasa sisi shida yetu watoto, umekuja kwa ajili ya kuzaa. Kwa hiyo naomba jitahidi kwa hilo, mume wangu hana shida yoyote zaidi ya kuzaa."
Daaaah 😳 niliumia! Watu wenye hela hatari.
"Sawa dada, ok."
"Amina, huyu ndo mke wangu nampenda sana, tena sana. Hakuna mwanamke atakayeingia kama mke wangu."
😳😳😳 Nilijisikia vibaya sana. Wakaja mabinti wawili, "Karibu malkia mezani, baba karibu mezani." Dada (ambaye ndo mimi sasa) mfanyakazi ananiita, "Dada karibu mezani."
Alinyanyuka yule dada tukaelekea mezani. Meza imepambwa, ndefuuu hiyo! Tukakaa vyakula vingi duuuuh! Mimi sijui kama unatakiwa kuchukua kidogo kidogo, nilichukua ubwabwa sahani imejaa na kuku! Daah wafanyakazi wakaanza kucheka ila hawatoi sauti. Wafanyakazi wote wanne wametusimamia, jamani maisha haya acheni tu 😋😋.
Nikala nikavimbiwa, vitu vitamu hatari. Yule dada anakula kidogo kama ana utumbo. Akanyanyuka akaondoka.
"Amina twende nikupeleke nyumbani." Nikainuka, safari ya kurudi kwangu hiyo.
Tumefika kwangu, nafungua mlango najua mwenzangu ameshuka, kumbe kawasha gari kaondoka! Niliduwaa mlangoni 🙆🙆🙆.
Nikaingia ndani nikatulia kwenye sofa. Sasa niliwaza, nikifikiria alivyokuwa anam-care mke wake, nikajua tu hanipendi, anampenda mke wake. Nikawaza mpaka usingizi ukanichukua. Nikashtuka asubuhi sina raha, simjui jirani, sina shoga, mume kanitenga 😢😢😢😢.
Daar aya maisha sio poa. Nikachukua simu nikataka kumpigia mama, nikawaza nitampa hofu, nikaona nimpigie Juma. Juma akapokea.
"Amina mambo?"
"Poa niambie, nimekumic Juma."
"Hata mimi nimekumic mdogo wangu." Nikaanza kumsimulia Juma mwanzo mpaka mwisho mmmmh 😢😢😢😢😢😢😢😳.

Matangazo
Matangazo