Episode 12:
"Tena hilo jambo linaanza kesho."
Basi Baraka alinifariji sana, moyo kidogo ukapoa. Kesho yake Baraka akaanza kutafuta ushahidi. Juma alikuja ndo akampa mambo yote pamoja na wahusika, aliwataja.
Mchana akawa anatembea na kijijini kwetu, akakutana na Salum.
"Bro vipi?"
"Poa niambie?"
"Safi, naona umeamua kujirupua!"
"Hamna bhana, nimemic kunywa kule sokoni. Hamna sehemu ya kutulia?"
"Ipo twende."
"Tunaendaje wawili? Ita na rafiki zako mimi nataka niwape ofa leo."
"Poa bro asante, ngoja tuwapitie pale."
"Sawa twende."
Huko Baraka anachat na rafiki zake wanakuja. Kweli wakawapitia rafiki zake Salim, wakaenda kwenye kibaa akaagiza kreti la Safari. Walikunywa mpaka saa tatu walilewa hatari.
"Oya Salum, mimi nataka kumuoa Amina vipi unamuonaje?"
"Baraka huyo demu si alikuwa analinga sana? Hakujua sisi wanaume siku moja tukamfanyia... yaani waliongea yote waliyonifanyia mwenzio akawa anarekodi."
Basi wenzake Baraka watatu wakawa wamefika kijijini usiku ule sokoni ndo kuna stendi akawapokea. Kuna dawa walileta wakawawekea kwenye bia, walilala ovyo. Walichofanya waliwavua nguo wakawalaza sokoni halafu Baraka akawapeleka wageni gesti, yeye akarudi nyumbani na hakunisimulia. Yeye alikuwa analala chumbani kwangu mimi nikawa nalala na mama.
"Mama Amina we mama Amina amka ukaone mambo!"
Mmh... kufunua pazia kumekucha tukakurupuka na mama hadi nje. Kumbe ni Mama Sofi.
"Unanini wewe?"
"Vijana waliombaka mwanao wamekutwa sokoni wapo uchi, tena sehemu ya haja kubwa kuna mautelezi sijui wamefanywa nini!"
Jamani mama alifurahi aliruka ruka.
"Mama kwa nini unafurahi watu wamefanyiwa vibaya?"
"Wewe alichokufanyiaga umesahau? Wamekupea mkosi kila sehemu unanyoshewa vidole. Mungu atanisamehe leo lazima nikamcheke mwenyekiti nione na yeye atanyamaza kama alivyonyamaza kwako?"
"Mama Amina usiende yaani mwenyekiti kajifungia ndani anaona aibu hadi kutoka nje."
Mimi machale yakanicheza nikamfuata Baraka nikamgongea akaniambia niingie.
"Baraka ni wewe unahusika?"
"Nahusika na nini?"
"Kuhusu yaliyotokea sokoni."
"Kwani limetokea nini?"
"Wewe jana ulikuwa wapi?"
"Nilikuwa na Juma."
"Mmmmh... 🙆🙆🙆🙆🙆🙆"

Matangazo
Matangazo