📖 Story Tamu

Episode 13:

Nikamwambia, "Baraka ulisema sheria ifuate mkondo, mbona wewe umefanya hivi? Wewe ndio umewavua nguo vijana wale walionibaka?"

"Amina nielewe mimi sihusiki. Kwani wewe umeumia kusikia maadui zako wamefanyiwa kitu kibaya?"

"Hamna Baraka sijaumia ila..."

Mama akasema, "Wewe Amina usiondoke umwekee mgeni chai, acha niende na Mama Sofi kwa mwenyekiti."

Mama ana furaha kweli kweli wale vijana wamefanyiwa kitu kibaya. Wakafika kwa mwenyekiti, mwenyekiti anasema:

"Kubakwa mwanamke sio vizuri japo akibakwa na starehe anapata, ila kubakwa kwa wanaume sikubali! Nasema wagambo wafanye uchunguzi wa kina juu ya hili jambo, kuna nini kipo?"

Mzee mmoja akasema, "Au mchumba wake Amina ndio kafanya hivi?"

Mwingine anakataa anasema, "Huyo mchumba wa Amina hajaambiwa ukweli juu ya Amina. Angeambiwa ukweli unadhani angempenda? Hakuna mwanaume anayependa mwanamke aliyebakwa."

Mama Sofi akamwambia mama, "Wewe kaa kimya tuone mwenyekiti atafanya nini."

Mama akasema, "Acha nione, ila akitaka kunijua mimi nani acheze na mgeni wangu."

Mama Sofi akaona kuna ulakini, mbona mama hakuwa mkali sana juu yangu zaidi aliishia kulia, leo anataka kuwa mkali kwa mgeni? Akakaa kimya naye aone nini kitaendelea.

Mama alirudi nyumbani akakuta nimeinjika chai halafu sijaifunikia akaniambia, "Mwanangu chai itanuka moshi, uwe unafunikia juu."

Basi nachukua mfuniko nainama kufunika chai, naona Baraka ananiangalia jicho la kunitamani. Matako yangu kwa sababu makubwa basi yamemvutia nilivyoinama.
Matangazo
Matangazo