Episode 11:
Kulia... yaani kila nikiwaza nimewakosea nini mimi mpaka wanibake jibu sikupata. Basi mama yangu akawa ananiambia, "Mwanangu nyamaza kulia, kikubwa hawajakuua upo hai."
Maneno ya mama yakanipa nguvu. "Mimi Baraka tuishie hapa, nikikumbuka naumia mwenzio."
Baraka akaniambia, "Sema Amina, unajua ukisema ndio yanaisha aya unabaki na amani moyoni. Niambie Amina usiogope, nimekwambia sitokuacha hata iweje."
"Baraka, kiufupi matako yangu haya ndio ilikuwa sababu ya mimi yote haya. Wanawake wa huku hawana matako makubwa kama haya, ndio maana mimi nimefanyiwa hivi. Naomba Baraka leo tulale wote."
Baraka akasema, "Sawa tulale, ila sio wote. Wewe lala na mama, kesho nitajua nafanyaje."
Namwambia, "Unataka ufanyaje Baraka?"
"Nataka kuwaonyesha sheria ipo tena..."

Matangazo
Matangazo