📖 Story Tamu

Episode 10:

"Huyu wa tatu akagoma, akasema mbele kumeishautamu nataka nyumba! 😭😭"

"Mnisamehe jamani mtaniuwa!"

"Vumilia acha ubishi!" Nilitanuliwa, yule wa tatu akaingiza sehemu nyingine 😭😭😭. Nilipiga kelele, yale maumivu sijawahi kusikia tangia nizaliwe.

Yule wa tatu aliniaribu sehemu ya haja kubwa na wakati anatoa nikatoka na haja 😭😭😭 jamani. Huyo wa nne hakuona kinyaa naye akaingiza kulekule. Hapo nguvu zimeniishia nikapoteza fahamu. Wa nne akamaliza wakaondoka wakaniacha mimi pale.

Wakaenda sokoni kuwaambia rafiki zangu walichonifanyia. Marafiki zangu wakatangaza sokoni kama nimebakwa, soko zima likaelekea polini kuangalia. Kweli walinikuta nimepoteza fahamu niliachwa vile vile, nimetanuliwa miguu nimechafuka maana nilijisaidia.

"Imetosha Baraka, nitakusimulia siku nyingine 😭😭."

"Amina naomba umalize kusimulia, sitaki ubaki na vidonda moyoni."

"Sawa. Mama Sofi, shoga yake mama, alivyoona ni mimi alikimbia kwenda kumwita mama."

"Mama wakati anakimbilia eneo la tukio akakutana na Juma, akamuomba msaada. Juma akakubali wakaenda wakakuta watu wamejaa, hakuna aliyenifunika nguo. Mama yangu alilia sana 😢😢😢."

"Juma akaona mama kama kavurugwa, akavua kitenge alijifunga kichwani akanifunika. Wakasaidiana na Mama Sofi wakaniweka mgongoni kwa Juma safari ya nyumbani. Tumefika nyumbani wakaweka mkeka, Juma akanilaza akatoka akaenda polini kunitafutia dawa maana nilikuwa natoka damu nyingi na kijijini kwetu hospitali iko mbali sana, watu wanatumia sana dawa za asili."

"Juma alirudi na dawa akamwelekeza mama jinsi ya kutumia. Juma alitoka pale alienda kwa mwenyekiti kumwambia kilichotokea ili watu wakamatwe. Mwenyekiti alimjibu vibaya."

"Hivi wewe kwani Amina ndugu yako mpaka uhangaike naye? Yeye si alikuwa analinga, aendelee kulinga!"

"Juma aliishiwa nguvu akaja kumsimulia mama yote aliyojibiwa na mwenyekiti."

"Achana nao mwanangu, nashukuru kwa kuwa pamoja na sisi, Mungu akubariki."

"Sawa mama, nitakuja kesho kumuona kama bado nitaenda kuangalia dawa nyingine."

"Sawa mwanangu." Juma akaondoka. Ilivyofika usiku saa tisa, fahamu ilinijia nikaanza...
Matangazo
Matangazo