📖 Story Tamu

Episode 6:

Richard alikuwa akipunga mikono mtoni kwa furaha, akijivunia samaki mkubwa aliyekuwa akiruka-ruka kwenye ndoano yake. Hakujua kuwa mita chache nyuma yake, mke wake alikuwa ametoka kulegezwa magoti na kaka yake wa damu.

Rahma alijaribu kurekebisha khanga yake upesi, huku uso wake ukiwa na haya na hofu. Ramadhani, akiwa na uzoefu wa "mjini," alitabasamu kidogo na kukohoa kikohozi cha bandia ili kuweka sauti sawa.

"Twende mke wangu, shemeji! Njooni muone huyu samaki!" Richard alipiga kelele tena.

Walishuka hadi ukingoni mwa mto. Rahma alikuwa ameinama chini, akijaribu kuepuka kukutanisha macho yake na ya Richard. Alihisi kama ana usaliti mkubwa usoni mwake. Lakini Ramadhani, bila aibu, alimshika mdogo wake begani.

"Hongera mdogo wangu! Huyu samaki ni mkubwa kweli, atatutosha sote kwa chakula cha usiku. Shemeji yako hapa alikuwa ananiambia kuwa anaona njaa, nadhani huyu samaki amekuja muda muafaka."

Ramadhani alimtazama Rahma kwa jicho la siri aliposema neno **"njaa."** Rahma alihisi mwili wake ukisisimka tena; alijua njaa ambayo Ramadhani anaizungumzia si ya samaki, bali ni njaa ya mwili wake.

Walirudi nyumbani kukiwa kumeanza kuingia giza. Richard, akiwa na furaha, alimkabidhi Rahma samaki yule ili amsafishe na kumpiika. "Mke wangu, leo upike pishi la kishua, maana kaka yupo na tunasherehekea baraka hizi."

Rahma aliingia jikoni. Moyo wake ulikuwa mzito. Kila alipokuwa akimkata samaki, alikuwa anaikumbuka mikono ya Ramadhani iliyokuwa ikimgusa kiunoni pale mtoni. Alijihisi mkosefu, lakini wakati huo huo, alikuwa anatamani mguso ule uendelee.

Baada ya chakula cha usiku kilichopikwa kwa ustadi, Richard alijisikia mchovu sana kutokana na kutwa nzima ya kuhangaika mnadani na mtoni. "Kaka, mimi naona macho yanalegalega. Naomba niwahi kulala mapema leo. Rahma, malizia usafi wa vyombo basi utakuja chumbani."

Richard aliingia chumbani na kulala fofofo. Ramadhani alibaki sebuleni akijifanya anamalizia kusoma gazeti lake la asubuhi. Rahma alikuwa jikoni akiosha vyombo, lakini kila sekunde alikuwa akitega sikio kusikia kama Richard ameshalala.

Mara, alihisi kivuli mlangoni mwa jiko. Aligeuka na kumkuta Ramadhani amesimama, akiwa amevua shati lake na kubaki na msuli tu.

"Richard ashalala," Ramadhani alinong'ona kwa sauti ya chini yenye mamlaka.

"Shemeji, tafadhali... nenda kalale. Richard anaweza kuamka," Rahma alijaribu kukataa, lakini mikono yake iliyokuwa na povu la sabuni ilikuwa inatetemeka.

Ramadhani alimsogelea na kumshika Rahma kwa nyuma, akamkumbatia huku mikono yake ikipapasa tumbo la Rahma. "Richard hawezi kuamka, amechoka sana. Na wewe unajua unachokitaka, Rahma. Usijifanye hutaki, mwili wako unaniambia tofauti."

Ramadhani alimgeuza Rahma na kumkaba kooni kwa busu nzito la ghafla. Rahma alijaribu kusukuma kifua cha Ramadhani, lakini baada ya sekunde chache, mikono yake iliyokuwa na sabuni ilianza kumkumbatia Ramadhani shingoni. Povu la sabuni lilitapakaa kwenye mgongo wa Ramadhani, lakini hakuna aliyejali.

Pale pale jikoni, kwenye sakafu ya udongo iliyosafishwa vizuri, heshima ya ndoa ya Richard ilianza kuingiliwa. Rahma alijikuta akivuliwa khanga yake moja baada ya nyingine, huku akitoa sauti za chini za msisimko ambazo hakuwahi kuzitoa akiwa na mumewe.
Matangazo
Matangazo