📖 Story Tamu

Episode 5:

Richard aliingia ndani akiwa mchangamfu, akijifuta jasho kidogo usoni kwa kitambaa chake. "Mke wangu, mbona kimya? Shemeji, mbona na ninyi mmekaa kama mmetoka kugombana?" Richard alihisi hali ya hewa ndani ya nyumba hiyo imebadilika, lakini kwa upole wake, hakudhania jambo lolote baya.

Ramadhani alicheka kicheko cha kinafiki. "Hapana mdogo wangu, shemeji yako hapa alikuwa ananiulizia kama mjini kuna maisha magumu kama ya huku kijijini. Nilikuwa namuelezea tu, akaingia jikoni kuandaa maji."

Rahma alitokea jikoni akijaribu kulazimisha tabasamu, ingawa mikono yake ilikuwa bado inatetemeka. "Karibu mume wangu. Nilikuwa nakuandalia maji ya kunywa, nilijua utarudi umechoka."

Richard alimshika mkono mkewe kwa upendo. "Asante mpenzi. Basi jiandaeni, nimepanga jioni hii twende kule upande wa pili wa mto Mbuyuni. Kuna upepo mzuri, na shemeji yako apate kuona mandhari ya kijiji chetu kabla hajarudi mjini."

Baada ya saa moja, watatu hao walianza safari ya kuelekea mtoni. Richard alikuwa mbele akiongoza njia, huku akimuelezea Ramadhani mipango yake ya kupanua shamba la migomba. Rahma alikuwa akifuata kwa nyuma, akijaribu kukwepa macho ya Ramadhani ambayo kila mara yalikuwa yakigeuka nyuma kumtazama kwa namna ya kipekee.

Walipofika mtoni, Richard aliona kundi la vijana wenzake wakivua samaki upande wa pili. "Kaka, ngoja nivuke niende kusema nao nione kama ninaweza kupata samaki wa jioni hii. Rahma, baki hapa na shemeji yako, usijichoshe kuvuka huku."

Richard alishuka mtoni na kuanza kuvuka, akiwaacha Rahma na Ramadhani peke yao chini ya mti mkubwa wa mwembe uliokuwa na kivuli kizito na giza kidogo.

Ukimiya ulitanda. Rahma alikuwa akitazama mto, akijaribu kutokumwangalia Ramadhani. Lakini Ramadhani alishindwa kujizuia; alimsogelea Rahma kwa nyuma na kunong'ona:

"Unaona Rahma? Hata mumeo anakupa nafasi ya kuwa na mimi. Hii ni ishara kuwa unanihitaji zaidi ya unavyomuhitaji yeye."

Ramadhani hakusubiri jibu. Alimvuta Rahma kwa nguvu na kumgeuzia upande wake. Safari hii, hakuishia kumshika tu. Alimsogeza Rahma hadi kwenye shina la mti na kuanza kumshika-shika maeneo ya siri kwa msisimko wa ajabu.

Rahma alijaribu kusema "Hapana," lakini sauti iligota kooni. Msisimko aliokuwa anauhisi tangu asubuhi ulipanda hadi kileleni. Alihisi mwili wake ukilegea kabisa. Ramadhani alijua Rahma ameshindwa nguvu ya nafsi yake. Alianza kumbusu shingoni kwa ufundi wa "mjini" ambao Rahma hajawahi kuupata kwa Richard.

"Shemeji... Richard atatuona..." Rahma alinong'ona kwa sauti iliyojaa ashiki, macho yake yakiwa yameanza kulegea.

"Hatuoni, yuko busy na samaki wake," Ramadhani alijibu huku mkono wake mmoja ukiingia ndani ya khanga ya Rahma na kuanza kuuchezea "mtaro wa maji" uliokuwa tayari umeloa kwa tamaa.

Rahma alishusha pumzi nzito ya moto na kumkumbatia Ramadhani kwa nguvu, akisahau kabisa kuwa mume wake yuko mita chache tu mbele yao akitafuta samaki wa chakula cha usiku.

Ghafla, Richard alipiga kelele akiwa mtoni: "Rahma! Kaka! Njooni muone samaki mkubwa niliyenasa huku!"

Rahma na Ramadhani walitengana haraka huku kila mmoja akijaribu kurekebisha nguo zake. Moyo wa Rahma ulikuwa ukidunda kama ngoma ya harusi.
Matangazo
Matangazo