Episode 9:
**Tulipoishia**
Sasa tukiwa tunashangaa pale, ghafla moto ulituzunguka pembeni yetu, ukawa unachoma kwa kasi ya ajabu sana, tukijaribu kukimbilia kushoto moto, kulia moto, nyuma moto, mbele moto, nikabaki nimeduwaa na nimekata tamaa.
“MUNGU NAOMBA UNISAMEHE DHAMBI ZANGU ZOTE NILIZOWAHI KUKUKOSEA KWA KUWAZA KWA KUNENA NA KWA KUTENDA, MAANA NAJUA HUU NDO MWISHO WA MAISHA YANGU, NINAOMBA NIJE NIURITHI UFALME WAKO… AMEN” hiyo ilikuwa ni sala yangu niliyohisi itakuwa ya mwisho maana sikuwa na pa kukimbilia kutokana na moto kutuzunguka pande zote.
**Endelea**
Baada ya kuomba pale moto ulitufikia nikapiga kelele lakini ghafla ni kama vile nilivutwa na kitu fulani, nikapotea katika ulimwengu wa kawaida, halafu nikawa sina fahamu kamili.
Nilikuja kuzinduka nikiwa nimezungukwa na mganga yule na wake zake watatu, pembeni yangu alilazwa Zuhura na nilpountazama alikuwa usoni naye kabandikwa kidubwana chake nikachanganyikiwa.
“Niko wapi?” niliongea kwa mshangao maana sikuamini kwamba nimeweza kuwa salama kutoka katika moto ule.
“Hahahaaa” mganga alicheka “Hapa panaitwa Katikati ya Miombo, nimeamua kukuleta sasa na kukuonyesha kwamba nina nguvu za ajabu sio wa kunidharau.”
Ilibidi niinuke na kupiga magoti “Baba” nilianza kumuita jina baba.
“Aaah, usiniite baba, mimi sio baba yako, ninaomba tuheshimiane, wewe ni mume mdogo kwa mke wangu, sasa nimewawekea sehemu za siri usoni fanyeni mlichokuwa mnataka kufanya pale nyumbani basi” alisema kwa hasira.
Niligusisha mkono wangu usoni, nilishtuka sana! Nilihisi kitu kimeviringana pale kwenye paji la uso kikishuka mpaka kwenye pua, kilikuwa ni kiungo changu cha kiume kimehamishiwa usoni. Nilipomtazama Zuhura, naye alikuwa analia akijificha uso, kwani kiungo chake cha kike (kitumbua) kilikuwa kimebandikwa katikati ya paji la uso wake.
“Hana mkuu wangu, naomba unisamehe, nisaidie niweze kuwa salama, nakuahidi hivi mimi sitorudia tena” nilimwambia mganga huku nikitetemeka kwa aibu na maumivu ya nafsi.
Zuhura alikuwa amekata moto pale chini, na niliona amezinduka kutoka kwenye kupoteza fahamu halafu akanitazama usoni “nono nono usiogope Festo, niko hapa” aliniambia na kuinuka pale alipokuwa amelazwa akanishika mkono na kumgeukia mumewe.
“Sikiliza Mzee kamulenga, mimi sikupendi, na sasa ninaomba talaka yangu, hizi zilizoko usoni hazina shida tutaendelea kufanya kama kawaida” aliongea ikabidi nimshangae maana kwa hali zile tulizokuwa nazo mimi sikuamini kama angeongea shiti kwa mumewe kiasi kile.
“unaongea nini Zuhura?” nilimuuliza kwa mshtuko maana sikuamini kama ni sahihi yeye kuongea vile.
“Acha nimpe talaka yake nione ataenda kufanyeje huko mbele” alisema mzee na kuingia kibandani halafu akatoka na kikaratasi kilichoandikwa talaka tena zikiwa ni tatu kabisa.
“Hapana mzee kama ukimpa talaka wewe mpe, lakini ninaomba unipe maumbile yangu yarudi kama mwanzo” nilijitetea mimi lakini mganga alicheka tu kwa dharau na kuanza kupotea machoni petu.
Tulibaki wawili tu katikati ya msitu ule wa kutisha, mimi nikiwa na uume usoni na Zuhura akiwa na uke usoni. Nilijihisi mdogo na mwenye aibu kuliko kiumbe yeyote duniani.
“Festo, usijali, twende kwa mganga mwingine, huyu mume wangu ana roho mbaya lakini kuna mganga kule Karatu anaweza kutusaidia” Zuhura aliniambia huku akinivuta mkono.
Nilianza kutembea nikiwa nimejifunika uso na shati langu, huku nikitafakari maisha yangu yamefika hapa kwa sababu ya tamaa ya utajiri na mke wa mtu.

Matangazo
Matangazo