📖 Story Tamu

Episode 10:

Tulianza kutembea katikati ya ule msitu wa Miombo, mimi nikiwa nimejifunika uso wangu wote na lile shati nililokuwa nimevaa, huku nikiongozwa na Zuhura aliyekuwa akinitazama kwa huruma japo naye hali yake usoni ilikuwa ni ya kutisha. Nilijihisi kama kiumbe wa ajabu, kila nikigusa paji langu la uso, niliuhisi ule uume ukiwa umening’inia pale, ukiwa umepoteza nguvu na kusinyaa kwa baridi ya msituni.

“Zuhura, tutafikaje Karatu tukiwa katika hali hii? Watu wakituona watatuua kwa mawe!” nilimwambia kwa sauti iliyojaa kilio.

“Festo, tulia. Tutatembea usiku na mchana tutajificha kwenye vichaka. Najua njia za mkato ambazo hazipiti watu wengi,” Zuhura aliniambia huku akijikaza kishujaa.

Tulitembea kwa masaa kadhaa mpaka tukafika kwenye kijito kidogo. Nilikuwa na njaa na kiu ya ajabu. Nilijaribu kunywa maji, lakini kila nikisogeza uso kwenye maji, ule uume wa usoni ulikuwa unatangulia kugusa maji kabla ya mdomo wangu. Nilijisikia kichefuchefu na fedheha ambayo sijawahi kuipata maishani mwangu.

“Mungu wangu, adhabu hii ni kubwa kuliko kifo,” nilinung’unika huku nikivua shati langu na kulifunga vizuri kama kilemba kichwani ili kuficha kile kiungo.

Zuhura alinitazama na kuanza kucheka kidogo, kicheko cha uchungu. “Festo, unajua mume wangu amefanya hivi ili tuendelee kufanya mapenzi huku tukitazamana usoni? Amelaaniwa yule mzee!”

Tukiwa bado pale mtoni, tulisikia sauti za watu wakija. Haraka sana tulijificha nyuma ya mti mkubwa wa mbuyu. Walikuwa ni wawindaji waliobeba mbwa na mikuki. Mbwa mmoja alihisi harufu yetu na kuanza kubweka kuelekea pale tulipojificha.

“Nyamaza, usitoe pumzi,” Zuhura alinong’ona sikioni mwangu huku akinikumbatia kwa nguvu.

Moyo wangu ulikuwa unadunda kama ngoma ya harusi. Niliwaza ikiwa wale wawindaji watatukuta, hakika watatuona ni majini au viumbe wa kuzimu na kutuchinja hapo hapo. Bahati nzuri, mmoja wa wawindaji aliwaita mbwa wake na wakaendelea na safari yao.

Tulipumua kwa nguvu baada ya wao kuondoka. Safari iliendelea kuelekea kaskazini, huku giza likianza kuingia. Tulilazimika kulala juu ya mti ili kujiepusha na wanyama wakali. Usiku kucha sikuweza kulala, nilikuwa nawaza jinsi nilivyomdharau Mungu na kuanza kufuata miungu ya kigeni kwa ajili ya utajiri. Nilikumbuka mkufu wangu nilioutupa chooni, nikawaza labda lau ningeubakiza nisingefikia hapa, lakini hapo hapo nikakumbuka mateso ya Mangi nikajua yote ni njia moja ya kwenda kaburini.

Asubuhi ilipofika, tulifika mpaka kwenye kijiji kimoja cha wafugaji wa Kibulunje. Zuhura aliniambia kuwa hapo ndipo anapokaa yule mganga mwingine, anayeitwa **Mzee Manyanya**, ambaye ana uwezo wa kuvunja uchawi wowote wa Mzee Kamulenga.

“Zuhura, una uhakika huyu Manyanya atatusaidia?” nilimuuliza kwa wasiwasi.

“Ndio Festo, huyu ndiye aliyemfundisha Kamulenga uchawi, sasa hivi wamekosana. Atatusaidia ili amkomeshe mwanafunzi wake,” Zuhura alijibu kwa ujasiri.

Tulifika kwenye kibanda kimoja kidogo kilichozungukwa na mafuvu ya wanyama. Mzee Manyanya alitoka nje, alikuwa ni mzee mkongwe sana, mwenye ndevu ndefu nyeupe mpaka kifuani. Alitutazama na kuanza kucheka kicheko cha kutisha.

“Hahaha! Kamulenga bado ana michezo ya kitoto! Karibuni watoto wangu, nimekuwa nikiwasubiri,” Mzee Manyanya alisema huku akitashiria tuingie ndani.

Tulipoingia ndani, harufu ya madawa na udi ilitanda. Mzee Manyanya alitwambia tuvunue vile tulivyokuwa tumejifunika nyuso zetu. Tulipofanya hivyo, alitikisa kichwa kwa huzuni.

“Ili niwarudishe katika hali yenu ya kawaida, kuna sharti moja gumu sana ambalo mmoja wenu lazima alifanye,” Mzee Manyanya alisema na kunitazama mimi moja kwa moja machoni.

“Sharti gani hilo mzee? Niko tayari kwa lolote!” nilisema kwa haraka.

“Lazima uende ukaibe kilele cha pembe ya mganga Kamulenga kule msituni alikolala, na ukilete hapa kabla ya jua la kesho kuzama. Ukichelewa, maumbile haya yatabaki usoni mwenu milele!”
Matangazo
Matangazo