Episode 6: KABURI LA DHAMBI NA MAUMIVU YA LAKI MOJA
Tulipoingia chumbani, yule mwanaume hakupoteza muda. Alifunga mlango na kunisukumia kitandani kwa nguvu. Kichwa changu kilikuwa bado kinazunguka kutokana na ile pombe niliyokunywa kwa mara ya kwanza. Nilihisi hofu ikianza kunirudia, lakini nikikumbuka ile ahadi ya laki moja, nilijikuta nabaki nimepoza.
Yule mwanaume alianza kunivua nguo kwa fujo, kana kwamba alikuwa na njaa ya miaka mingi. "Mrembo, leo nitakupa kila kitu, usijali kuhusu pesa," alikuwa akiongea huku akinitazama kwa macho yaliyolewa tamaa.
Mimi nikiwa nimekazana kufumba macho, nilihisi baridi ya feni ikipiga mwili wangu uliokuwa uchi. Picha za mama na wadogo zangu kule kijijini zilinitokea usoni, lakini zikafutika haraka pale yule mwanaume alipoanza kuninyonya maziwa yangu kwa nguvu kiasi cha kuniumiza. Nilianza kulia kwa sauti ya chini, lakini yeye alidhani ni raha, akaongeza kasi.
Haikuchukua muda, nilihisi maumivu makali ambayo sijawahi kuyasikia maishani mwangu. Nilitaka kupiga kelele lakini aliniziba mdomo kwa busu zito lenye harufu ya sigara na pombe. Nilihisi kama napasuliwa vipande vipande. Kwa mara ya kwanza, niligundua kuwa ile raha niliyokuwa naichungulia kwenye matundu ya milango, ilikuwa na upande mwingine wa maumivu na aibu.
Alipomaliza, alijinyoosha kando yangu na kutoa pochi yake. Alichukua laki moja na kunitupia kitandani. "Hiyo hapo, naona ulikuwa bado mbichi sana. Pole kwa maumivu, utazoea."
Nilizitazama zile pesa huku nikilia. Zilikuwa zimetapakaa damu kidogo iliyokuwa imetoka mwilini mwangu. Nilijihisi mchafu, nilihisi kama nimepoteza kitu kikubwa ambacho siwezi kukipata tena. Nilivaa nguo zangu kwa shida na kutoroka kurudi chumbani kwangu kabla kuku hawajawika.
Nilipofika chumbani, niliingia bafuni na kuanza kujisugua mwili wangu kwa sabuni kiasi cha kutaka kuchubuka, nikidhani nitatoa ile harufu ya yule mwanaume na ile dhambi niliyofanya. Lakini ndani ya moyo wangu, sauti moja ilikuwa inaniambia: "Sasa wewe ni tajiri, una laki moja."
Asubuhi na mapema, bosi aliniona nikiwa nimechoka sana na macho yakiwa mekundu. Alinisogelea na kunishika kidevu changu, "Mbona leo unaonekana mnyonge sana? Au yale mambo ya jana chumbani kwangu yalikuchosha?"
Nilimtikisa kichwa tu, sikuweza kumwambia kuwa usiku ule nimeanza rasmi safari ya kuwa malaya, na kwamba ile laki moja ilikuwa imekaa chini ya godoro langu kama ushahidi wa anguko langu.
---
**Inaendelea...**