Episode 5: NJAMA ZA MADADA WA GESTI
Baada ya ile usiku niliyokuwa na bosi, nilianza kujihisi mimi ni mtu wa tofauti. Ile aibu ya kijijini ilianza kunitoka, na zile nguo fupi nilizopewa na bosi zilinifanya nionekane mrembo na mwenye kuvutia zaidi. Siku hiyo nikiwa nafua mashuka ya gesti upande wa nyuma, walikuja madada wawili ambao walikuwa wateja wa kudumu pale gesti.
Hawa madada walikuwa wanajiuza, na kila siku walikuwa wanakuja na wanaume tofauti. Walinisogelea huku wakivuta sigara na kunitazama kuanzia chini mpaka juu.
"Hivi wewe mtoto unajua unavyopoteza muda hapa?" mmoja wao aliniuliza huku akinitolea moshi wa sigara usoni.
"Kivipi dada?" nilimuuliza huku nikiacha kufua.
"Hii sura yako na umbo lako, ukikaa pale barabarani kwa saa moja tu unapata pesa ambayo bosi wako anakulipa kwa mwezi mzima. Unaonekana bado mbichi kabisa, wanaume wanapenda sana 'vitu' kama wewe," aliongeza yule dada mwingine huku akicheka.
Maneno yale yalinifanya nifikirie sana. Niliwaza maisha ya nyumbani kijijini, niliwaza jinsi mama anavyoteseka, na nikajikuta nimeanza kushawishika. Wale madada waliniambia kuwa siku hiyo usiku wanataka nitoke nao "kazini" ili nikaone jinsi pesa inavyopatikana kirahisi.
Niliogopa bosi ataniona, lakini hamu ya kupata pesa nyingi ilikuwa kubwa. Usiku ulipofika, nilijipamba vizuri kuliko kawaida. Nilisubiri bosi aingie chumbani kwake na kupata usingizi, kisha nikatoroka kupitia mlango wa nyuma na kuungana na wale madada.
Tulielekea kwenye klabu moja maarufu mjini. Nilishangaa kuona wanawake wakiwa wamevaa nguo nusu uchi na wanaume wakishika-shika miili yao hadharani. Moyo wangu ulidunda paap paap! Ghafla, mwanaume mmoja mwenye muonekano wa pesa alinijia na kunishika mkono.
"Mrembo, mbona unakaa peke yako? Twende tukapate kinywaji," aliniambia huku akinitolea tabasamu la hila.
Yule mwanaume alinunua vinywaji vingi, na kwa mara ya kwanza maishani mwangu, nilikunywa pombe. Nilihisi kichwa kikizunguka na mwili ukikosa nguvu. Yule mwanaume alianza kunipapasa hadharani, na mimi kutokana na ule ulevi, nilijikuta nacheka tu na kumkumbatia.
"Twende gesti tukapumzike, nitakupa laki moja," alininong'oneza.
Laki moja! Nilishangaa, maana mshahara wangu wa mwezi ulikuwa elfu hamsini tu. Nilikubali bila kusita. Tulirudi mpaka kwenye gesti ileile ninayofanyia kazi, lakini safari hii mimi sikuwa mfanyakazi, bali nilikuwa mteja. Nilijificha uso wangu ili yule kijana wa zamu asinitambue. Tulipoingia chumbani, yule mwanaume hakuwa na huruma...
---
**Inaendelea...**