✦ Matangazo ✦

📖 Story Tamu

Episode 7: SIRI YA GODORO NA TAMAA YA PESA

Siku nzima nilikuwa kama mtu aliyepagawa. Kila nikikumbuka yale maumivu ya usiku, mwili ulikuwa unasisimka, lakini kila nikigusa kile kishika uchumi (laki moja) chini ya godoro, moyo ulikuwa unapata nguvu mpya. Nilijua kuwa sasa maisha ya kijijini yamebaki kuwa historia, na hapa mjini nimepata njia ya mkato.

Bosi alikuwa ananitazama kwa jicho la mashaka siku hiyo. "Mbona unatembea kwa shida, unaumwa?" aliniuliza nikiwa nadeki mapokezi.

"Hapana bosi, nilijigonga jana wakati nafanya usafi," nilimdanganya huku nikiinama chini ili asione macho yangu yaliyokuwa na aibu na siri nzito. Bosi aliguna tu na kuendelea na shughuli zake, lakini nilihisi kuwa anaanza kunihisi.

Muda wa mchana, wale madada waliokuwa wamenipeleka klabu walikuja gesti. Walinikuta niko nyuma ya jengo nafua. "Vipi mrembo, si tulikuambia? Tumeona ulivyopata dume la shoka jana, vipi mambo yalienda?" mmoja wao aliniuliza huku akicheka kwa dhihaka.

"Nilipata laki moja," nilijibu kwa sauti ya chini, nikijaribu kuficha furaha yangu.

"Laki moja tu? Kwa uzuri huo na ubichi wako huo mwanaume amekunyonya!" mwingine alidakia. "Sikiliza, kuna bosi mmoja anakuja hapa leo usiku. Yeye hapendi kwenda klabu, anapenda 'vitu vibichi' kama wewe. Akikuona, laki tatu ni nje nje. Utaki?"

Laki tatu! Akili yangu ilivurugika kabisa. Niliwaza laki tatu na ile laki moja ya jana, tayari nitakuwa na laki nne. Hiyo ni pesa nyingi sana ambayo mama yangu hajawahi kuishika maishani mwake. Tamaa ilishinda aibu na maumivu. Nilikubali mpango ule.

Usiku ulipoingia, niliingia chumbani kwangu na kuanza kujiremba. Nilikumbuka yale mafundisho ya bosi, nikajipaka marashi na kuvaa nguo fupi zaidi kuliko zote nilizokuwa nazo. Ghafla, nilisikia mlango wangu ukigongwa. Nilihisi ni bosi, nikazima taa haraka na kujifunika shuka nikijifanya nimelala.

"Mrembo, najua huja lala. Fungua mlango tuongee kidogo," ilikuwa ni sauti ya bosi, na safari hii ilikuwa na mamlaka zaidi.

Nilikosa la kufanya. Niliinuka na kufungua mlango. Bosi aliingia na kunikuta nimevaa nusu uchi huku nimejipaka makeup. Alinitazama kwa mshangao kisha akacheka kwa dharau.

"Kumbe madada wa mjini wameshakufundisha kazi? Unadhani mimi sijui unachokifanya?" bosi alinisogelea na kunibanza ukutani. "Kama unataka kuwa malaya, anza na mimi kwanza. Hizo pesa unazotafuta nje, mimi nitakupa."

Bosi aliniingiza mkononi mwake na kuanza kunivua nguo kwa hasira na tamaa. Safari hii hakuwa na upole wa mara ya kwanza. Aliniambia, "Leo utajua kwanini mimi ndiye bosi hapa."

---
**Inaendelea...**