Episode 4: ZAWADI YA BOSI CHUMBANI
Niliingia chumbani kwa bosi huku moyo wangu ukienda mbio. Nilimkuta bosi amekaa kitandani akiwa amevaa bukta tu, huku akitazama runinga. Chumba chake kilikuwa na harufu nzuri ya marashi ya kiume ambayo yalinifanya nizidi kuchanganyikiwa. Aliponiona, alitabasamu na kunionyesha ishara nikae pembeni yake.
"Karibu, mbona unaogopa? Mimi si bosi wako?" aliniambia huku akicheka kidogo.
Niliketi pembeni yake huku nimejishika mikono yangu kwa aibu. Bosi alinyanyuka na kwenda kwenye kabati, akatoa mfuko mmoja wenye nguo mpya na kunikabidhi. "Hii ndiyo zawadi yako niliyokwambia. Nataka uwe mrembo zaidi ya hapa ulivyo."
Nilizipokea zile nguo, zilikuwa ni sketi fupi na blauzi za kuvutia. Nilimshukuru kwa sauti ya chini, lakini bosi hakuishia hapo. Alirudi kukaa karibu yangu na kuanza kunishika paja langu taratibu.
"Unajua tangu ulivyofika hapa, sijapata usingizi? Una mvuto wa kipekee sana," bosi aliongea huku sauti yake ikibadilika na kuwa ya chini.
Mkono wake ulianza kupanda juu zaidi ya paja, ukielekea kule ambako mwanamke yeyote anapashwa kuwa na ulinzi mkali. Nilihisi mwili wangu wote unasisimka, zile picha nilizokuwa nazichungulia kwenye matundu ya milango zilianza kunijia kichwani. Badala ya kupiga kelele au kukimbia, nilijikuta namtegemea bosi huku nikivuta pumzi kwa nguvu.
Bosi alinizungusha na kunikumbatia kwa nyuma, akaanza kunibusu shingoni na kuninong'oneza, "Usihofu, nitakufundisha kila kitu. Nitakufanya uwe mwanamke wa kisasa."
Siku ile bosi hakunifanyia kitu kikubwa, alikuwa kama ananionjesha tu. Alininyonya mate kwa muda mrefu huku akinipapasa mwili mzima, jambo ambalo lilinifanya usiku ule nisilale kabisa. Nilirudi chumbani kwangu nikiwa nimevurugika akili. Nilianza kuona kuwa kazi ya usafi ni kisingizio tu, lakini kazi halisi ilikuwa ni ile ya kuwapa raha wateja na sasa bosi wangu mwenyewe ameshaanza kuingia kwenye mkumbo huo.
Kuanzia siku hiyo, nilianza kubadilika. Nilianza kuvaa zile nguo fupi alizonipa bosi, na kila nilipokuwa nadeki koridoro, nilikuwa najitingisha makusudi ili wateja wanione. Macho yangu hayakuwa tena ya yule msichana mshamba wa kijijini, bali yalikuwa macho ya msichana anayetafuta "ujuzi" zaidi.
---
**Inaendelea...**