📖 Story Tamu

Episode 4:

Alichokifanya baada ya mimi kufungua mlango alinifunulia madodo yake meupe yaliyokuwa meupe yamekomaa vizuri sana na yana mvuke fulani ilikuwa ni akiba ya maji yaliyobaki. Niliupeleka mkono na kumzuia mjumbe maana tayari alishaanza vurugu. Akavuta kikoi chake mikononi mwangu na kunikonyeza jamani huyu Tina anashida gani….

Kisha akanambia ”jirani baadaye basi, nmefurahi kukuona ujue we ni handsome" kisha akaondoka. Lakini huo mwendo sasa jamani moja mbili. Angekuwa konde boy mzee wa bomboclaaat asingeweza kuvumilia ile hali angekuwa ashafanya yake.

Nilikuwa nalitazama huku natokwa na udenda. Nilimsindikiza kwa macho mpaka alipozamia…

Niliingia ndani na kuchukua taulo na kuelekea kuoga nilipomaliza nilirudi kwangu na kuvaa kisha nikatoka kwenye mizunguko yangu katika vitu ambavyo sivitaki ni kuishi maisha ya kuigiza kama vijana wengi mimi always niko real sana na maisha yangu. Basi nilitembea mpaka kazini na leo kazi niliyokuwa nayo ni kukarabati jengo moja la mwanamke mmoja…

Nilipofika pale rafiki yangu John ndiye alikuwa anafahamiana na yule mama na alinitambulisha ”bossi huyu ndo kijana niliyekuwa nasema”

”Oooh sawa” akanigeukia na kusema ”kijana unaitwa nani?"
”Naitwa Kelvin“
”Wow nafurahi kukufahamu”, akanipa mkono.

Nikampa, alitumia kidole kimoja kukipapasa kiganja changu nilishtuka na kumtazama akatabasamu na kuniambia ”njoo ofisini tuweke mambo yote sawa“

Tuliondoka na kuelekea ofisini nilikuwa namtazama tu yule bossi jina lake anaitwa AGNESS. Alikuwa akijipigisha stori mbili tatu kuhusu michakato yangu.

Nilifika na kukaa ofisini, naye akakaa mara kanyanyua mguu juu ya meza na kuufunua kidogo pa…… nilishangaa na kumuuliza bosii nini bhana!!!!!

Niliongea kwa hasira sana. Aliushusha mguu chini na kusema ”punguza wenge Kelvin mambo yanazungumzika tu…”

Nilimwambia kwa hasira yanazungumzika kivipi??
”Naomba unisaidie kitu kimoja”
”Kitu gani tena eti?”
”Tulia sasa mbona una haraka“
”Sio na haraka nataka kujua tu“
”We nenda ila andika namba yako hapa"

Alivuta karatasi na kunipa niandike namba nami sikuwa na dogo lolote lile. Niliandika 0699***** akaichukua nakuniambia naweza kwenda nilijiuliza sana huyu madamu ananitakia nini mimi?

Nilirudi na kuendelea na kazi, huku mambo yangu na mawazo yangu kuhusu yule mwanamama. Basi tulipiga kazi na majira ya jioni bossi alikuwa anawakabidhi watu hela ya kazi. Lakini mimi hakunipa na kuniambia niingie ofisini ndo kuna hela sikuwa na wasiwasi nilielekea ofisini…..

”Mmmmh Kelvin“
”Nambie mbona unaguna”
”Hapana ujue wewe ni handsome”
”Mh jamani asante sana,”
”Hebu nambie unakaa na nani”
”Nakaa pekee yangu”
”Oooho jamani pole”
”Pole ya nini“
”Nikajua umeoa na baridi hili?”
”Kawaida tu eti“
”Haya chukua hela”
”Bosi mbona nyingi”
“We chukua tu”
“Asante“

Nilipokea na kutabasamu na kisha nikawa natoka lakini kabla sijafika kwenye mlango, aliniita ”Kelvin“.

Niligeuka nilichokiona kilinifanya niegamie mlango na kusema ”lakini bosssi jamani“.
Matangazo
Matangazo