📖 Story Tamu

Episode 5:

Niliegemea mlango kwa mshituko. Sikuwa najua kama ni ndoto au uhalisia. Mbele yangu alisimama Agness, boss wa jengo, akinitazama kwa macho ya simba anayetaka kulia nyama.

Alikuwa ameshusha zipu ya blauzi yake hadi katikati ya kifua, na yale madodo yaliyokuwa yamelindwa vizuri kwa saa zote za mchana sasa yalikuwa mbele yangu, yakinong'ona kimya: “Tuchukue tu nafasi yetu, Kelvin.”

“Lakini boss… jamani, haya mambo si sawa.” Nikasema kwa sauti iliyotikiswa na mchanganyiko wa mshtuko na tamaa iliyojificha ndani.

Akasogea hatua mbili mbele, akanigusa kifuani kwa vidole viwili vilivyo baridi kama maji ya friji: “Kelvin… hakuna kisicho sawa kama kinafanyika kwa makubaliano."

Akanizunguka taratibu kama fisi anayeikagua mzoga wa ng'ombe, kisha akasimama nyuma yangu. Nilihisi pumzi yake kwenye shingo yangu, ikiniunguza kama moto wa sigara. “Upo peke yako, nipo peke yangu… na maisha haya ni mafupi.”

Aliyazungumza hayo maneno huku mkono wake ukijipenyeza taratibu kwenye bega langu la kushoto. Nilikamata mkono wake.

“Samahani boss… mimi si mtu wa namna hiyo.”

Akanigeukia kwa ghafla, macho yake yakibadilika, sauti yake ikawa kali: “Kelvin, unajua ni watu wangapi wanalia kuja kufanya kazi hii? Unadhani hapa ni kazi tu?”

Nikashtuka. Kumbe ajira yangu ilikuwa na masharti ya kishetani? “Unamaanisha kama nikikataa…?”

“Unajua jibu. Lakini huwezi kuniambia kuwa hukuona nilivyovaa leo kwa ajili yako. Au nilivyokuita ndani peke yako jioni…?”

Nilimeza mate. Jasho lilinitoka kwa kasi kama mtu aliyekimbia baada ya kuona kitu cha ajabu…

“Na usijaribu kumwambia mtu yeyote. Kumbuka hii ni ofisi yangu. Wewe ni nani? Kelvin wa wapi?”

Akavuta zipu ya blauzi yake juu, akavaa tabasamu bandia kisha akaniambia kwa sauti ya kawaida: “Haya… kesho usichelewe kazini.”

Nikageuka na kutoka. Miguu ilikuwa mizito kama ya mtu aliyejifunga chuma miguuni. Nilipofika nje, John akanisogelea: “Aisee! Mbona umechoka ghafla?”

“Nothing bro… boss tu alikuwa ananiuliza maswali mengi.”

Lakini ndani ya moyo wangu kulikuwa na mshituko, hasira, na hofu. Je, ni kazi gani hii yenye masharti ya kutumia mwili badala ya jasho?

Siku iliyofuata asubuhi nilipoamka nilipata ujumbe wa WhatsApp kutoka kwa namba ya boss:
Agness: “Good morning handsome natamani ungekuwa karibu yangu ule na ushibe hili tunda”

Nilitetemeka. Nikaitazama nyumba yangu. Nikakumbuka Tina wa jana. Tina aliyefungua madodo ovyo tu bila masharti. Nikajiuliza, “Hivi wanawake wa mtaa huu wananiandama au ni laana ya handsome?”

Simu iliita. Ilikuwa ni Tina. Nilipopokea, sauti yake ililia kama kengele ya kanisa: “Jirani, naomba nikuone muda si mrefu. Niko mlangoni.”

Nilushusha simu polepole. Nilipoenda kufungua mlango… Tina alikuwa amevaa dera la madoadoa, refu lakini lenye mpasuo hadi juu ya paja. Akaniambia kwa sauti ya kimahaba:

“Leo nataka nikupe zawadi ya kukushukuru kwa kunizuia jana… sijawahi kukutana na mwanaume mwenye nidhamu kama wewe.”

Nilimeza mate kwa hofu na msisimko. Tina akapita ndani, akalinukia kama maua. Alipoingia alitoa kilinda himaya na akabaki na kufuri la pink juu kama kazaliwa juzi. Kisha akasema:

"Kelvin njoo ujisevie leo nimekutunuku hili tunda..."
Matangazo
Matangazo