📖 Story Tamu

Episode 3:

Siku iliyofuata baada ya vurugu zile nilikuwa bado nimelala na ilikuwa tayari ni saa kumi na mbili asubuhi nilishtuka kutoka usingizi.

”Ni muda wa kwenda kupambana kulala hakuna ishu” nilisema huku najinyosha taratibu.

Nilitandika kitanda changu na kuchukua mswaki then nikawa naswaki pale nje huku kichwani nawaza vurugu za jana za Tina. Nilijisemea ila wanawake wengine wanautafuta mguu wa punda kwa jasho la damu mwishowe wanaanza kulaumu sasa achana nao kwa sasa sihitaji usumbufu kabisa na wanawake ……

Nilijisemea kimoyomoyo huku napiga zangu mswaki saa ngapi tena akapita kavaa kikanga chepesi ambacho kwa macho ya nyama niligundua hajavaa kufuri maana lile kaliiiii… lilikuwa linatikisika kama ngoma ya vita ….

Alivokuwa anaingia bafuni alidondosha sabuni makusudi akainama ”mmmmmh” niliguna maana lile ta si mchezo unaweza ukaombea mkopo na ukapata ghafla akalitingisha na kugeuka kisha kunikonyeza na kuingia bafuni sio siri mjumbe aliwajibika kwa kusimama vilivyo …

Kwa aibu nilikimbilia mbali na kumshika mjumbe na kumwambia ”acha papara” nilimkoki kama napanga gia kwenye manyu.. Kisha nikakaa ili mradi atoke maana ni kama ananikomoa hivi mi sitaki ukorofi …

Niliposikia mlango umefunguliwa na hatua za mtu kutoka nikajua ndio yeye. Nikasubiri mpaka apite nilipohisi kuna ukimya nikajua tayari ashaenda. Ndipo nikachukua hatua ya kutoka nje ..

Ile natoka bafuni naye ndo anatoka nje …

Kumbe aliyefungua mlango alikuwa ni chumba kingine. Aliponiona muda huo kalowa maji kanga waswahili wanasema ndembendembe. Hapo ndipo niliuona mfereji wa suez unaotenganisha milima miwili. Nilitoa macho uchu na uroho vilikuwa vimenijaaa.

Alinitazama na kutabasamu nyie katoto ni kazuri katudimple mashallah yuko so natural hapo hajaenda uturuki mtoto ni kama sabuni inayosafisha uchafu wote … alitikisa mpaka madodo yake mmmmh nilishindwa kuvumilia na kurudi ndani ….

Ghafla ilisikika sauti ya ndoo ikiwekwa chini ilikuwa ni karibu na mlango wangu. Sauti ikasikika ilikuwa ya Tina:

“We handsome boy naomba kikoyi changu fanya haraka nikavae …..

”Njoo uchukue baadaye kavae kwanza”

”Bhana Kevi nipe niende wanichelewesha ujue”

”Okay sawa nakuletea usijali”

Nilitembea mpaka kwenye angle ya kitanda changu na kukichukua kikoi kisha nikafungua mlango nilichokiona kilinifanya nitoe macho kama mweu…
Matangazo
Matangazo