Episode 12:
Nilihisi koo langu limekauka, na machozi ya hasira yalikuwa yanachoma machoni. Kumtazama Kelvin akiingia ndani bila hata kugeuka kuninitazama, ilikuwa ni maumivu makali kuliko hata kile "dude" lake lilivyonijeruhi mara ya kwanza. Lakini nikiwa Tasha, binti wa mjini aliyepitia mengi, sikuwa wa kukubali kushindwa kirahisi hivi.
"Haya, chukua huyu mkeo muondoke! Gari la mkaa linasubiri barabarani!" Kaka yake Kelvin, ambaye niliitambua roho yake ya kwanini, alikuwa anamsukuma Juma 'Mkaa' kuelekea kwangu.
Juma alinisogelea, mkono wake mchafu ukitaka kunishika bega. "Tasha mke wangu, twende nyumbani tusiwaudhi hawa watu waungwana."
Hapo ndipo nilipolipuka. Nilimgeukia Juma na kumpiga kofi moja zito la shavu la kushoto mpaka miwani yake iliyopasuka ikadondoka chini. "Nyamaza! Wewe Juma, unadhani mimi ni mjinga? Unadhani sijui nani amekupa nauli na kukuleta huku?!"
Watu walioanza kukusanyika walipiga kelele ya mshangao. Mama Kelvin alitoka mlangoni akitazama lile sinema.
"Mama Kelvin, nisikilize!" nilipiga kelele kwa sauti ya juu ili Kelvin aliyekuwa ndani asikie. "Huyu mwanamume siyo mume wangu. Ni kweli namjua, ni mwanamume niliyewahi kukutana naye klabu miezi sita iliyopita. Nilimtapeli laki tano, ndiyo, na niko radhi kuzilipa hapa hapa. Lakini yeye siyo mume wangu, na hajui huku nilikokuja kama hajapewa maelekezo!"
Nilimgeukia Juma 'Mkaa' ambaye alikuwa anashika shavu lake kwa maumivu. "Juma, sema ukweli! Nani alikupigia simu? Nani alikupa picha hiyo ya klabu ambayo hata mimi sina? Nani amekulipa uje huku kuniharibia?"
Juma alishtuka, akamtazama kaka yake Kelvin kwa jicho la kuomba msaada. Lakini kaka yake Kelvin alijifanya kugeuka upande mwingine.
"Sema!" nilimrukia Juma na kumshika shati lake. "Sema kabla sijaita vijana wa huku wakuchome moto kwa wizi wa mtaji wa mkaa!"
Juma alikuwa mwoga wa asili. Alipoona nimepania na watu wa kijijini wanaanza kumsogelea kwa jicho la shaka, alianza kutetemeka. "Sijui... mimi nimeambiwa tu nije hapa... huyu hapa!" Alimnyooshea kidole kaka yake Kelvin. "Huyu kaka ndiye alinipigia simu wiki iliyopita, akasema Tasha yuko hapa na nimfuate nitapata pesa yangu na nyongeza!"
Uwanja mzima ulikuwa kimya. Kelvin alitokea mlangoni, macho yake yakiwa mekundu. "Kaka? Ni kweli uliyoyafanya haya?"
Kaka yake Kelvin alijitahidi kujitetea. "Kelvin, nilikuwa nakusaidia! Huyu mwanamke ni tapeli, nilitaka umjue ukweli wake!"
"Ukweli gani kaka?" Kelvin alishuka ngazi taratibu, akimkaribia kaka yake. "Ukweli kwamba unataka mimi nibaki mpweke ili uendelee kusimamia mali zangu kwa sababu unajua nina tatizo la kimaumbile linalowakimbiza wanawake? Unadhani sijui kuwa unawapa siri wanawake wote ninaowaleta ili wakimbie?"
Nilipigwa na butwaa. Kumbe hata wale wanawake wengine walikuwa wanapata "taarifa za siri" kutoka kwa huyu kaka mnafiki!
Kelvin alimgeukia Mama yake. "Mama, Tasha amekuwa mkweli kwangu tangu mwanzo. Alinimbia yeye ni nani, na mimi nilimjua. Lakini amekubali kukaa na mimi licha ya hofu yake. Kaka amefanya uhuni huu kwa sababu ya roho mbaya."
Kelvin alimshika Juma 'Mkaa' na kumtikisa. "Chukua hii laki tano yako ya mkaa, na usionekane tena hapa! Na wewe kaka, kuanzia leo, sitaki kukuona kwenye ofisi zangu wala kwenye mashamba yangu. rudi mjini ukatafute kazi yako!"
Juma alichukua pesa na kukimbia kama kuku aliyekatwa kichwa. Kaka yake Kelvin aliondoka kwa aibu, akitupia jicho la chuki kwangu.
Mama Kelvin alinisogelea na kunikumbatia. "Nisamehe mwanangu Tasha. Mjini kuna mengi, lakini moyo wako ni mweupe. Kelvin, mlee mkeo huyu."
Usiku ule, tukiwa chumbani, Kelvin alikuwa amekaa pembeni ya kitanda, akionekana bado ana mawazo. Nilimfuata na kumshika mabega.
"Kelvin, asante kwa kuniamini," nilisema kwa upole.
Aligeuka na kunitazama, tabasamu lake la dhati likarudi. "Tasha, wewe ni mwanamke shupavu. Umepambana na mume wa mkaa, umepambana na kaka yangu, na muhimu zaidi... umepambana na 'mzigo' wangu na ukashinda. Unadhani sasa tunaweza kumalizia lile 'gwaride' letu la asubuhi bila usumbufu?"
Nilitabasamu, huku nikianza kuvua kanga yangu. "Leo siyo gwaride tu Kelvin, leo ni sherehe ya ukombozi. Hicho kidege chako kije tu, nimeshakiandalia uwanja wa ndege wa kimataifa!"
Kelvin alicheka na kunivuta kitandani. Safari hii, hakukuwa na hofu, hakukuwa na maigizo. Kulikuwa na Tasha, Kelvin, na lile "dude" ambalo sasa lilikuwa limekuwa sehemu ya furaha yangu.

Matangazo
Matangazo