Episode 4: Ujumbe wa Usiku
Salma alibaki amekodoa macho kwenye kioo cha simu yake. Moyo ulimlipuka kwa furaha ambayo hakuitegemea. Neno **"mpenzi wangu"** lilikuwa likicheza kwenye akili yake kama wimbo mzuri. Kumbe Karim hakuwa amemsahau! Kumbe baridi yote ile ya ofisini ilikuwa ni ganda tu la nje.
*"Nakuja kesho na ndege ya asubuhi, mchana nitakuwa ofisini,"* ujumbe mwingine uliingia, kufuatiwa na ule uliompa Salma wakati mgumu kidogo: *"Kesho uchelewe tena kutoka, na nakuomba uvae sketi fupi zaidi ya ile ya wiki iliyopita..."*
Salma alicheka peke yake ofisini hadi Mama Mkwawa akamuuliza kulikoni. Alitikisa kichwa tu na kuendelea na kazi yake kwa kasi ya ajabu. Alipofika nyumbani jioni hiyo, kazi ya kwanza ilikuwa ni kufungua kabati la nguo. Alizitandaza sketi zake zote kitandani. Alitafuta ile itakayomfanya Karim ashindwe kupumua.
Alichagua sketi nyeusi, fupi na inayovuta (stretch). Alijitazama kwenye kioo na kugeuka nyuma kutaizama figa yake. "Hii lazima imchanganye," alinong'ona. Kwa ujasiri, alijipiga picha (selfie) kwenye kioo na kumtumia Karim kupitia WhatsApp: *"Nitavaa hii bosi."*
Jibu likaja haraka: *"Ndefu sana."*
Salma alistuka. Huyu mwanamume anataka nini hasa? Lakini badala ya kuogopa, alihisi msisimko wa ajabu. Alijua Karim anamtaka, na anamtaka vilivyo. Alitafuta sketi nyingine fupi zaidi, ile ambayo hupendelea kuvaa akiwa anaenda kwenye pati za usiku pekee.
Asubuhi iliyofuata, Salma alijua kuwa safari ya kuelekea ofisini ingekuwa ya tabu. Alimwita K, dereva wa bajaji anayemfahamu, ili ampeke hadi kituo cha teksi. K, kwa domo lake kubwa, hakuweza kunyamaza. "Salma, unaenda kumuua nani asubuhi yote hii? Mabosi wanafaidi kweli!"
Salma alicheka na kumpuuza, lakini moyoni alikuwa na hofu na hamu. Alipofika ofisini, mtu wa kwanza kukutana naye alikuwa Mama Mkwawa. Safari hii, yule mama hakunyamaza. "We Salma, umevaaje leo? Unajua unakokwenda?"
Salma alitoa salamu tu na kukimbilia mezani kwake. Saa zilikuwa zikienda kwa uvivu. Saa tisa... saa kumi... Karim alikuwa hajafika. Wafanyakazi wengine walianza kuondoka mmoja mmoja. Salma alibaki peke yake, akiwa na hofu kuwa labda amefanya maandalizi yote haya kwa ajili ya mtu ambaye hatatokea.
---
**Kionjo cha Sehemu ya 5:**
Wakati Salma akijitayarisha kufunga ofisi kwa masikitiko, mlango ulifunguka na Karim akaingia akiwa amechoka lakini macho yake yaking'ara. Bila kusema neno, alimfuata Salma na kumnong'oneza jambo ambalo lilibadilisha usiku wake mzima. **USIKOSE SEHEMU IJAYO!**