Episode 8:
"Twende tukanunue sehemu nyingine huyu hajui biashara."
Tulitoka tukaenda kwa pembeni tulinunua vitu vya 10,000. Mama aliyenidharau alijilaumu mpaka akaja kuomba msamaha.
Tukaenda sehemu ya buchanani, mimi nilitangulia Baraka alikuwa nyuma. Ile naingia tu, "Wewe kahaba unataka nini mimi sikuuitaji, hadhi yako ndogo bora nikae na hamu zangu!" Baraka akaingia, yule muuzaji akaanza kumkaribisha Baraka.
"Karibu bro."
"Wewe akili hauna kabisa, unadharau mteja! Yaani mteja anakuja wewe unaanza kumtukana!!"
"Bro humjui huyu demu, hana maana huyo ameburwa hadi kinyaa!"
Jamani nilianza kulia. Baraka akaniambia, "Nyamaza mke wangu. Naomba nyama kilo..."
Mmmh muuzaji akashangaa, alizoea kupima robo au nusu. Basi akatupa nyama tukaanza kurudi nyumbani. Ila hali yangu ilikuwa sio nzuri sana, nilikuwa natamani kulia barabarani ila nilishindwa. Sikuongea tena mpaka tunafika nyumbani. Nilipitiliza chumbani nililia jamani, nililia tena kwa sauti!
Mama akashtuka akaingia ndani, nilimkumbatia nililia kwa sauti 😭😭😭😭😭😭. Jamani nilivyonyamaza nikamsimulia mama kila kitu, mama akaninyamazisha tukatoka ndani.
Nikamkuta Baraka kakaa sebuleni. "Baraka mwanangu ebu mkapunge upepo pale kwenye mti mimi nipokee nyama." Kumbe mama alitaka nikamsimulie Baraka yaliyonikuta maana kama mambo mengi kashayasikia.
Basi nikatoka na mkeka tukaenda kwenye mti, tukatandika mkeka tukakaa.
"Amina..."
"Abee."
"Naomba nisimulie history yote ya maisha yako usiogope, jua siwezi kukuacha hata iweje."
"Sawa, mimi nitakusimulia ila niahidi kitu kama hautoniacha kabisa."
"Mimi siwezi kukuacha Amina, wewe niamini wangu."
"Sawa. Naitwa Amina, nina miaka 20, naishi na mama tu. Baba alikufa muda sana wakati nikiwa mdogo sana 😭😭."
"Pole."
"Asante. Basi mama yangu akanilea vizuri sana, nilivunjwa ungo nikiwa na miaka 17. Matatizo yalianza baada ya kupevuka maana ndio mwili wangu ulianza kujitengeneza kwa spidi sana."
"Basi wanaume wakaanza kunipenda. Nikiongozana na rafiki zangu nikawa naitwa sana mimi, ila wenzangu wakawa hawaitwi. Wenzangu wakaanza kunichukia hawataki kutembea na mimi. Rafiki zangu wenyewe ndio wale wa sokoni..."

Matangazo
Matangazo