📖 Story Tamu

Episode 24:

Niliwaza, nikasema... nilimfuata yule dada jirani nikamuuliza kuhusu usafiri. Akaniambia magari ya mkoani yanatoka asubuhi, kwa hiyo nimechelewa.

"Kwani mama anaumwa?"

"Hapana, nataka kurudi nyumbani tu. Siwezi haya maisha."

"Kwani kuna tatizo? Au kakuingilia kinyume na maumbile?"

"😳😳 Umejuaje?"

"Namjua Baraka kuliko wewe unavyomjua. Wamekuja hapo wanawake wa kila aina. Mmoja alimzalia watoto wawili; mtoto wa kwanza alivyofika umri wa mwaka akampa mimba tena. Mtoto akaenda kwa bi mkubwa."

"Yule dada wakati ana mimba, aliletewa taarifa kama mtoto kafa ghafla. Na alivyozalishwa wa pili yule dada hatujui alienda wapi, ila mtoto alibaki kwa bi mkubwa. Ila za chini chini inaonekana aliuawa!"

"Sasa watoto wanawapelekaga wapi sijui, ila pale nyumbani hawapo. Na mwenye mali ni mwanamke, sio mwanaume."

"Nakushauri nenda kwenu, hata kama ni maskini bora ukarime. Mwenzio alikuwa analalamika anaingiliwa kinyume na maumbile kila siku, halafu mbegu anaondoka nazo zinaenda kwa..."
Matangazo
Matangazo