📖 Story Tamu

Episode 22:

"Sawa dada, nashukuru kwa ushauri wako."

"Haina shida." Basi tukafika nyumbani kila mtu akaenda kwake.

Nikaingia ndani nikampigia simu mama nikamwambia, "Kuna bati nimetuma naomba uniwekee, nataka kujenga."

"Eeeh! Mnataka kuhamia na mumeo huku?"

"Hapana, na hata akikupigia simu usimwambie chochote. Nataka nijenge nyumba yangu."

"Sawa, ila kwani mmegombana au?"

"Hapana mama."

"Sawa, nitamwambia Juma afuatilie mimi siwezi, najisikia vibaya."

"Unaumwa mama au nikutumie hela uende hospitali?"

"Hapana nina hela mwanangu."

"Sawa mwambie Juma." Basi nikakata simu.

Nikampigia Juma nikamuelekeza, akakubali. Tukaanza kupiga stori za kawaida ila nilim-miss sana. Basi nikakata simu nikakuta SMS kutoka kwa Baraka: *(nimekupigia unaongea muda wote, leo ni zamu ya bi mkubwa kwa hiyo sitokuja siku tano).*

Nikamjibu: *Sawa.* Maana na mimi nikawa hata sim-miss hata kidogo yaani.

Nikaandaa chakula, nikawa naangalia TV na kuchati na Juma. Nilivyochoka nikaenda kulala. Siku tano zilipita, zamu yangu ikafika. Wakati niko kwenye siku zangu (period) akaja kulala kwangu. Nikamwamkia, nikamwambia nipo siku zangu. Akaniambia haina shida.

Tukalala. Saa sita usiku nakuta mtu ananipapasa matako... nikashtuka! "Baraka vipi?"

"Ninahamu, nahitaji penzi."

"Mimi si nimekwambia naumwa?"

"Sawa, si unipe nyuma?"

"🙆🙆🙆😢 Baraka hivi ni wewe kweli au nimebadilishiwa? Sio wewe uliyekuwa unanitetea kijijini?"

"Mimi nilipinga unyanyasaji wa kubakwa. Mimi ni mumeo, nitatumia taratibu sitokuumiza."

"Daaah siwezi kukuruhusu ufanye hivyo!"

"Sawa, basi naenda kwa mke wangu." Akaamka, akavaa nguo, akatoa laki akanirushia kitandani akaondoka.

Nikaamka nikaenda kufunga mlango nikarudi kulala. Ulipitia usingizi nikashtuka asubuhi nikafanya mambo yangu bila kumtafuta. Akinitafuta kwa simu sipokei. Jioni akaja akawa kabeba zawadi, akaniomba msamaha. Nilimsamehe maana aliahidi kutokuniomba tena hilo suala.

Alikuja na wine akawa anakunywa, akaniambia nionje. Nilionja kidogo sana. Akanituma nikamchukulie kitu chumbani, nikaenda. Nilivyorudi akaniambia ninywe tena, nikanywa. Tulikuwa na furaha, mara ghafla macho mazito, hayataki kuona kabisa! Naona kabisa ananibeba ananipeleka chumbani...
Matangazo
Matangazo