Episode 15:
"Amina sitaki kumuudhi mama, wewe nenda kalale mimi na wewe tutaenda mjini mambo yetu tutafanya mjini sio hapa."
Mimi nikaondoka chumbani huku nawaza, mbona Baraka hataki kufanya? Labda anahisi mimi ni muathirika au vipi? Yaani nawaza mwenyewe ila sina uhakika Baraka ananiwazia nini. Basi tulilala mpaka asubuhi.
Kaka Juma akaja akamchukua Baraka akampeleka shamba huko kuchima naye mihogo. Baraka akamwambia Juma, "Juma mimi namuoa Amina kabisa."
Na Juma anamwambia, "Muoe, Amina hana tatizo ila vijana wale ndio wamempa doa tu Amina ila Mungu amewalaani."
Yaani kaka Juma hajui mpango ule wa kuwadhalilisha wale vijana ulipangwa na Baraka.
Sasa mwenyekiti anataka alishupalie jambo la wale vijana, lakini wale vijana wenyewe wanaona aibu kutoa ushahidi, jambo limekaa vibaya.
Basi mimi nawaza, kwa nini Baraka asinidonyoe japo kidogo maana yeye si ananipenda?
Basi nikasema kimoyoni, kwa sababu analala chumbani kwangu, leo nitamwambia nataka kubadilisha nguo ila anivishe yeye mchumba wangu. Nitamvizia mama kaondoka namtega ili anifanye.
Kweli mama aliondoa kwa Mama Sofi na kaka Juma akaondoka. Mimi nikamwita Baraka chumbani nikamwambia nataka univishe nguo.
Baraka akasema…

Matangazo
Matangazo