Episode 1:
"Mama kwa nini Mungu amenipa mtihani huu!?"
"Amina mwanangu jaribu kuvaaga madira mwanangu uku kijijini polisi mbali mpaka ukwee mabasi na mimi sina hela ya kwenda kuwashtaki nakuonea huruma ila nashindwa nifanyaje. Kama baba yako angekuwa hai usingepata shida hivi wanatuonea kwa kuwa mimi ni mwanamke."
"Mimi naomba niondoke kijijini la sivyo nitakufa kwa maradhi."
"Huwezi kwenda kuniacha pekee yangu Amina, tumebaki wawili tu ukiniacha nitakufa."
Nilikumbatiana na mama tukalala mpaka asubuhi. Nikaamka nikabeba ndoo nikawa nawaza kwenda kisimani.
"Mama nataka nikachote maji."
"Hapana mwanangu ngoja niende mimi wewe utakuwa unafanya kazi tu za hapa."
"Sawa mama ila huwezi chota maji kila wewe."
"Mimi sihitaji kabisa upatwe tena matatizo mwanangu."
"Sawa mama asante kwa kunijali nakupenda mama yangu."
Basi mama akaenda kuchota maji mimi nikawa nafagia uwanja nikaangalia mbele nikawaona wakaka watatu wafugaji wananiangalia nilishtukaπ³π³ nikakimbilia ndani nilikaa mpaka mama alivyorudi.
"Mama hujaona wavulana wamesimama nje hapo?"
"Hapana mbona hawapo." Mama akatoka tena kuangalia hakuona mtu.
"Hamna mtu mwanangu sema uoga wako tu aya njoo nje tufanye kazi usiwe na hofu sana utakosa furaha sawa mwanangu."
"Sawa mama." Nilitoka nilifanya usafi mama akaniambia niende kuchuma kisamvu sio mbali na nyumbani. Nilienda kuchuma wakati nachuma mara nikaona mtu kanishika kiuno nilishtukaπ³π³
"Amina usishtuke sana niambie za asubuhi."
"Nzuri Juma, za kwako?"
"Salama, vipi mbona upo hapa unaenda kuokota kuni?"
"Hapana nimekuja kukupa pole kwa matatizo uliyopata pole sana jitahidi usiende sehemu ya porini pekee yako halafu jitahidi uwe unavaa nguo ambazo hazionyeshi umbo lako."
"Sawa kaka Juma nashukuru kwa kunijali."
"Aya maliza kuchuma nikupeleke nyumbani maana vijana wa uku kijijini kwetu wanatamaa sana."
Nikamaliza kuchuma kisamvu Juma akanisindikiza nyumbani tulivyofika mama alimshukuru sana kwa roho yake nzuri.
"Haina shida mama, hapa kijijini hamna kituo cha polisi kwa hiyo inatakiwa tuwalinde dada zetu."
"Sawa mwanangu."
***

Matangazo
Matangazo