📖 Story Tamu

Episode 7:

**Tulipoishia**

“Unafunga mlango wa nini, unataka upige punyeto au kuna mwanamke ndani?” aliniuliza kwa hasira mi kabla sijajibu aliusukuma mlango na kuingia ndani, cha kwanza kukiona ni chupi ya Giva iliyokuwa sakafuni pale pale sebuleni kudadededeki

“Ni nini hiki????” aliniuliza kwa hasira huku akiinyooshea kidole ile kofuli ya Giva, nilishindwa kujibu kwa kweli…….

**Endelea**

Niliona Zuhura ameondoka pale kwa kasi ya ajabu halafu akaenda moja kwa moja hadi chumbani, nikaweka mikono kichwani huku nikiwaza itakuwaje akimkuta mtoto wa kike kule ndani, nilikaa kama sekunde kumi nikisubiri matokeo lakini sikusikia hata kofi kutoka kwake lakini alitoka akiwa ameikunja sura kwa hasira

“Jamani F” alinita kwa kifupi “nimekukosea nini lakini mbona unanisaliti jamani tena kirahisi kiasi hiki?” aliniuliza “au kisa mimi ni mke wa mtu? Umeshanitumia halafu unafanya hivi kweli?” aliniuliza tena mimi nikabaki nimeduwa maana nilikosa jibu la kumpa

“Zuhura, wewe ni mke wa mtu mbaya, juzi tu amenitokea na kunipa onyo kali kwamba nisiendelee na wewe, teana ameniambia kwamba nikiendelea na wewe ni makubwa yatanitokea” aliniambia

Haikupita sekunde nyingi Giva alitoka kule chumbani, akatoka nje akikimbia sijui aliogopa nini kiasi kile, hata chupi yake hakuiokota pale ilipokuwa imedondoka chini,

“Samahani Zuhura mimi sitaweza kudeti na wewe tena” nilimuambia kwa kiburi halafu nikaona Zuhura amepiga magoti chini na kuniomba msamaha

“Nisamehe, ninajua kwamba alikutokea maana amenipiga sana juzi, lakini kiukweli Festo mimi mpaka muda huu, nimeshanogewa na penzi lako, yaani naomba tu tuendelee, hata ikiwezekana nitaachana naye tutatoroka tuende zetu karatu, kule kuna mashamba ya kutosha tutalima karanga halafu tutasambaza tupate hela” aliniambia mtoto Zuhura kidogo yale maneno yakanilegeza

“Inuka basi jamani” nlimuambia na kumshika misulini nikamnyanyua

“Umeshanisamehe na kunielewa?” aliniuliza

“Nimekuelewa, ninaomba unielewe pia wewe, kwamba mimi sitaki kuishi kwa mawazo Zuu

“Hautaishi kwa mawazo nakuambia, ni kwamba mimi ninataka tutoroke wote maana mimi nimeshamchoka”

“Ok sikiliza, mimi ulivyokuja ulinikuta nakaribia kula mzigo, nataka basi unipe ili niamini” nilimuambia kwa kujiamini

“Jamani, sitaweza kukupa leo, maana nipo kwenye siku zangu, subiri baada ya siku mbili nitakupa maana niliingia mwezini juzi”

“Doooh” niliguna baada ya kujua kwamba nakosa utamu kwa siku ile, hakika aliniharibia kabisa

“Umekasirika?” aliniuliza

“Nope siwezi kasirika vitu vidogo hivyo bana ah”

“Ok powa mi naondoka asije kunifuata hapa”

“Haya poa, byee” nilimuambia nikaona ametoka nje lakini hakufika mbali nikamuita “Samahani Zuhura”

“Niambie”

“Naomba namba yako basi”

“Oh 07xxxxxxxx” alinitajia nikaisevu halafu akaondoka.

Nilirudi ndani nikaichukua ile kofuli ya mage na kuiweka sehemu nzuri na kuketi kitandani nikasikia voooop mtu katua mbele yangu, ikabidi nimtazame na kukuta ni yule mganga amenitokea tena, nilishtuka nikaogopa

“kijana, nimekuja kwako mara ya pili na ya mwisho, ninaomba uachane na mke wa mganga Kamulenga, utakuja kupata matatizo magumu hautaamini” mganga alinitamkia maneno yale ya kishujaa kisha akatoweka zake.

Nilijikuta kama hali ile ya kutokewa na mganga ninaizoea kwa sababu alikuwa ananitishia tu na hamna action yoyote inayochukua nafasi, hivyo mimi sikujali nikajua kwamba kwa sababu mke wake ameishi naye kwa muda mrefu hivyo basi ataweza kunisaidia mimi wakati nikipata matatizo.

Nilimtumia message “Umefika?”

“Hapana ndo ninakaribia” alinijibu

“Ok but Mzee kanitokea tena, nimeogopa sana na ameniambia kwamba ni onyo ya mwisho hivyo yatakayonikuta..."
Matangazo
Matangazo