✦ Matangazo ✦

📖 Story Tamu

Episode 19: GARI JEUSI NA AHADI ZA MJINI

Nilisimama pale pembeni ya barabara huku moyo ukinidunda. Lile gari lilikuwa la kifahari, na harufu ya kiyoyozi ilikuwa ikitoka ndani kwa nguvu. Yule mzee alikuwa amenisogelea, macho yake yakinitazama kuanzia miguuni mpaka usoni kwa namna ambayo iliniambia kuwa anajua mimi ni nani na nafanya nini hapo nje usiku huo.

"Mrembo, usiku huu si salama kwa binti kama wewe kusimama hapa peke yako. Ingia ndani tuongee," aliniambia kwa sauti ya mamlaka iliyochanganyika na upole.

Nilichelea kidogo, nikimkumbuka shangazi na maonyo yake, lakini njaa na hamu ya kuona maisha ya "juu" yalinishinda. Nilifungua mlango wa mbele na kuketi kwenye kiti cha ngozi ambacho kilikuwa laini kama sufu. Gari liliondoa kwa kasi.

"Naitwa Mzee Benson. Na wewe je?" aliniuliza huku akishika usukani kwa mkono mmoja, mkono mwingine ukiwa umeanza kusogea kuelekea kwenye paja langu.

"Naitwa Marina," nilimjibu kwa sauti ya chini, nikijaribu kuvuta kinguo changu kistaraabu lakini mzee Benson alicheka.

"Marina, jina zuri sana. Usijisumbue kufunika, hapa uko sehemu salama. Nataka nikupeleke sehemu ukale vizuri, kisha tutazungumza biashara," Benson aliniambia huku akichezesha vidole vyake kwenye paja langu. Yale mapigo ya moyo yalianza kurudi, lakini safari hii si kwa hofu ya bosi, bali kwa msisimko wa kuanza maisha ya "vyeo."

Alinipeleka kwenye hoteli moja kubwa mjini ambayo sikuwahi hata kuota kuingia. Tulikula vyakula vya gharama na kunywa mvinyo wa bei mbaya. Kichwa kilianza kunizunguka kidogo, na Benson akaanza kuninong'oneza mambo ya ajabu sikioni. "Marina, nimekupenda. Nataka uwe mchepuko wangu wa siri. Nitakupangia nyumba nzuri, nitakupa gari, na kila mwezi nitakuwa nakupa milioni moja. Unasemaje?"

Milioni moja! Macho yalinidunda. Ile laki saba yangu chini ya godoro ilianza kuonekana kama senti ndogo. Nilikubali bila kufikiria mara mbili. Benson alichukua funguo ya chumba cha juu cha hoteli ileile, tukaelekea huko.

Chumbani, Benson hakuwa na fujo kama bosi. Alikuwa anajua jinsi ya kumtumia mwanamke kwa ustaarabu lakini wenye kiu kubwa. Aliniambia nivue kila kitu nisimame mbele ya kioo ajionee uzuri wangu. "Wewe ni lulu iliyokuwa imejificha kwenye gesti chafu," aliniambia huku akinikumbatia kwa nyuma na kuanza kunibusu kishogoni.

Tulifanya mapenzi kwa namna ambayo sikuwahi kuijua. Alikuwa anatumia kila aina ya ufundi, huku akinitaka nifanye mambo ambayo yalinifanya nihisi kama kweli nimeshakuwa mtaalamu. Usiku ule niliujua utamu wa pesa na madaraka.

Lakini alfajiri ilipofika, nikiwa bado nimelala, nilisikia mlango wa chumba ukifunguliwa kwa kishindo. Mwanamke mmoja mnene, aliyevaa vizuri lakini mwenye hasira kali, aliingia na kumrukia Benson kitandani!

"Benson! Nimekunasa! Kumbe huyu ndiye huyo malaya uliyemtoa gesti jana?" yule mwanamke alipiga kelele huku akinivuta nywele zangu kwa nguvu. Nilikumbuka mara moja — yule ndiye alikuwa mke wa Benson!

---
**Inaendelea...**