✦ Matangazo ✦

📖 Story Tamu

Episode 18: MACHOZI YA SHANGAZI NA SIRI ZA GESTI

Shangazi alisimama pale mapokezi huku akitazama lile begi langu lililotupwa nje na kunitazama mimi ninavyolia. "Marina, nini kimetokea? Bosi wako ameniambia una tabia mbaya, ni kweli mwanangu?" Shangazi aliniuliza kwa sauti ya uchungu iliyonichoma moyoni.

Bosi hakunipa nafasi ya kujibu. Alianza kufungua mdomo wake mchafu, "Shangazi, huyu binti yako ameshindikana. Badala ya kufanya usafi, yeye anashinda vyumbani na wanaume. Nimejitahidi kumlelea kama mwanangu lakini amechagua kuwa malaya wa gesti. Mimi sitaki laana kwenye biashara yangu."

Nilitamani ardhi ipasuke nimezwe. Niliwaona wateja wengine wakichungulia koridoni wakitusikiliza. Shangazi alikaribia kunizaba kibao, lakini mkono wake ukabaki hewani huku akitetemeka. "Marina! Nimekuleta mjini uje utusaidie maisha ya kijijini, kumbe unakuja kuuza mwili? Mama yako akisikia hivi atapona presha aliyonayo?"

Maneno ya shangazi yaliniumiza, lakini hasira ilianza kunipanda dhidi ya bosi. Niliinuka na kufuta machozi, nikamtazama bosi machoni. "Shangazi, huyu bosi unayemuona hapa ndiye aliyeniharibu! Yeye ndiye aliyenivua nguo mara ya kwanza na kuniingizia liboro lake kwa nguvu! Leo anajifanya mtakatifu kwa sababu nimepata mteja mwingine aliyenipa pesa nyingi kumzidi yeye!"

Mapokezi yalizizima. Bosi alipata mshtuko, uso wake ukabadilika na kuwa wa kijivu. "Unasema nini wewe binti? Unanisingizia?" bosi alijitetea huku akitazama pembeni kuona kama kuna watu wanamsikiliza.

"Sikusingizii! Hata lile shuka lenye damu ya bikira yangu ambalo ulilificha bafuni bado lipo! Shangazi, huyu mzee ndiye aliyenifundisha kuwa mwili wangu ni biashara!" Niliongea kwa sauti ya juu mpaka bosi akaanza kuingia hofu ya kupoteza sifa yake mjini.

Shangazi alimtazama bosi kwa dharau na kisha akanitazama mimi. Alijua hapa hakuna msafi. "Basi yatosha! Marina, chukua begi lako, hapa hatukai tena hata dakika moja."

Tulitoka nje ya ile gesti huku bosi akibaki anatutolea matusi ya chinichini. Tulipofika barabarani, shangazi alinisimamisha. "Marina, sina mpango wa kukurudisha kijijini kwa aibu hii. Lakini pia sitaki ukae nyumbani kwangu maana mume wangu atakuua. Una laki saba ulizoniambia unazo, utazitumia kuanza maisha yako mwenyewe."

Shangazi alinipeleka kwenye chumba kimoja cha uchochoroni mbali na ile gesti, akanilipia kodi ya mwezi mmoja na kuniacha hapo. "Kuanzia leo, wewe ni mtu mzima. Chagua kuwa malaya kweli au utafute kazi nyingine. Mimi sitaki kukuona mpaka uwe umebadilika."

Nilibaki peke yangu kwenye kile chumba kidogo chenye harufu ya unyevu. Nilijilaza kwenye kile kigodoro cha mwanzi, nikazitoa zile pesa zangu laki saba nikazihesabu. Moyo wangu ulijaa ukatili. Nilijua sasa niko huru, na hakuna wa kunipangia nusu ya pesa.

Usiku ulipoingia, njaa ilianza kuniumiza. Nilitoka nje kutafuta chakula, nikiwa nimevaa kile kinguo changu kifupi cha bosi. Ghafla, gari moja jeusi lilisimama mbele yangu, na mwanaume mmoja mwenye umri mkubwa, aliyevaa suti, akashusha kioo. "Mrembo, unakwenda wapi usiku huu? Njoo nikupe lift..."

---
**Inaendelea...**