Episode 1:
Mlio wa muziki mnene wa *Amapiano* ulikuwa ukipasua anga ndani ya klabu ile maarufu jijini. Harufu ya marashi makali ilichanganyika na moshi wa sigara na harufu ya vinywaji, ikitengeneza mazingira ya anasa na dhambi. Mimi nilikuwa nimekaa pale kaunta, nimepiga pamba zangu za maanaβkigauni kifupi cha mtego kinachoacha mapaja wazi, huku nikijikagua kwenye kioo cha simu yangu kila baada ya dakika mbili.
Lengo langu lilikuwa moja tu: Kupata "fala" wa mjini mwenye pesa zake, nimchune, kisha nisepe.
Ghafla, nilihisi kivuli cha mtu kikitua pembeni yangu. Alikuwa kaka mmoja mtanashati, kavaa kishkaji lakini anaonekana ana aibu fulani hivi. Macho yake yalikuwa yakinitumbua kama mtu aliyepatwa na butwaa. Nilijua hapa nimenasa samaki!
"Samahani mrembo, naweza kukupunguzia upweke?" aliniuliza kwa sauti ya upole, huku akivuta kiti na kukaa.
Nilikunja uso kidogo kwa pozi, nikajifanya simtaki sana. "Inategemea, unataka nini?" nilimjibu huku nikichezea kucha zangu ndefu zilizopakwa rangi nyekundu.
"Ningependa uagize chochote... utakunywa nini?" aliniuliza kwa adabu.
Nilitabasamu kimoyo-moyo. Nikajibu kwa sauti ya mapozi na kurembua macho kwa utaratibu, "Nitalewa bure... nipe tu soooda."
"Soda gani mrembo?"
"Soooda fanta PENSHENI..." nilimjibu kwa kurefusha maneno, nikiigiza ule "ubishoo" wa watoto wa mjini.
Mwanamume yule aliitikia kwa unyenyekevu, "Ok, Fanta Passion? Poa." Alimwita mhudumu na kuagiza.
Baada ya muda mfupi, soda ililetwa. Nilimtazama mhudumu kwa dharau kidogo na kuuliza kwa sauti ya juu, "Mbona MLIJA hamjaniwekea?" Nilimwuliza yule mhudumu huku nikimbenulia midomo kwa madharau. Baada ya kupewa mlija, nikaanza kufyonza "pryuuuuuuuuuuu" kwa fujo.
Yule kaka alinitazama kama anayeona aibu, akageuka huku na kule kuona kama majirani wamesikia ule mlio wa ajabu wa soda yangu. Nikaendelea na yangu, nikijua tayari nimeshamkamata akili yake.
Baada ya ukimya wa dakika kadhaa, huku akionekana kujikaza kishujaa, akanisogelea karibu na kunong'ona, "Naomba sasa tuongee vizuri... Nikitaka kulala na wewe usiku mzima, nikupe shilingi ngapi?"
Aliongea huku akiwa na aibu fulani, macho yakimtoka. Hapo hapo moyo wangu ulidunda kwa furaha. *Nikajua huyu si mzoefu wa mambo yetu... hapa nimepata fala! Subiri nimchune vizuri.*
Nilimtazama kwa dharau kidogo, kisha nikajibu, "Jiue mwenyewe, sema una shilingi ngapi?" huku nikiendelea kurembua macho.
"Ntakupa ishirini (20,000)," alijibu kwa upole.
Nilikasirika kishkaji, nikafyonza soda yangu kwa nguvu "Pryuuuuu!" kisha nikamtolea macho, "Khaa! We vipi? Kwani mimi mwanafunzi? Ishirini ndio pesa gani hiyo?"
Yule kaka alionekana kuchanganyikiwa, "Ok, sema basi, mimi nitakupa unayotaka."
Nilivuta pumzi ndefu kisha nikamchorea pointi, "Nipe laki (100,000), na huduma yangu utaridhika mwenyewe."
"Poa," alijibu haraka kana kwamba hiyo pesa ni ndogo kwake. "Nitakupa hamsini kabla hatujaanza, na hamsini tukimaliza. Sawa?"
Nilikataa katakata. "We vipi? Unafikiri nitakimbia? Toa cash bwana!" Niliongea huku nikijisogeza karibu naye, nikitega maziwa yangu yaliyokuwa wazi kiasi ili ayatazame. Macho yake yalimtoka, akameza mate kwa uchu na kusema, "Poa, maliza soda twende."
Nilijiona nimefika peponi! Sikutegemea hata hiyo ishirini, lakini huyu jamaa anaonekana ana hela ya urithi au katoka mkoani kutafuta sifa. "Ngoja nikalichune hili fala," niliwaza huku nikinyanyuka na kuelekea mlangoni kuelekea gesti iliyokuwa jirani.
Sikujua kuwa "fala" huyo alikuwa na siri nzito inayoning'inia katikati ya miguu yake... siri ambayo ingenifanya nikimbie bila viatu!

Matangazo
Matangazo