✦ Matangazo ✦

📖 Story Tamu

Episode 19: Chai ya Pamoja na Kumbukumbu ya Usiku

Baada ya kuamka na kuoga pamoja bafuni—ambapo tulijikuta tukipapasana na kubusiana tena chini ya maji ya baridi yaliyotuliza miili yetu iliyokuwa na joto—tuliingia jikoni. Zena alivalia khanga yake nzuri na safi iliyomkaa vyema kiunoni, huku mimi nikiwa nimevalia kaptula yangu na flana nyepesi.

Zena alikuwa na uchangamfu wa ajabu asubuhi hiyo. Uso wake ulikuwa uking'aa kwa furaha na tabasamu halikumpotea hata mara moja. Alitayarisha chai ya maziwa yenye iliki na tangawizi, akakaanga na vitumbua vya moto pamoja na mayai.

Tulikaa pamoja kwenye meza ndogo ya kulia chakula iliyopo ubarazani kwake. Hewa ya asubuhi ilikuwa mwanana sana, na mtaa mzima ulikuwa tayari umeshaamka na shughuli za siku.

"Unajua jirani..." Zena alianza kuongea huku akinimiminia chai ya moto kwenye kikombe, macho yake yakinitazama kwa kishawishi, "mpaka sasa hivi siamini kama yule nyoka wa jana alikuwa ni mkanda wangu tu!"

Nilishindwa kuzuia kicheko na kumtazama: "Zena bwana! Ulivyokuwa unatetemeka na kunishika kwa nguvu jana, nilidhani kweli kuna chatu chumbani kwako. Kumbe ulikuwa unatafuta tu sababu ya kunivuta chumbani kwako eeh?"

Zena alicheka kwa sauti ya kike iliyojaa mahaba, akifunika mdomo wake kwa kiganja cha mkono. "Mmmh, usinisingizie bwana! Mimi nilikuwa na hofu kweli! Ila kusema ukweli... giza na umeme kukatika jana vilikuwa ni baraka za siri. Maana bila ule mkanda, nisingejua kama una uwezo mkubwa hivi kitandani."

"Ahaa! Kumbe umekubali eeh? Na bado ulisema kwenye chati kuwa utanipa mchezo mpaka niombe maji ya kunywa, mbona mwisho wa siku wewe ndio ulikuwa unapiga kelele za kuomba maji?" nilimtania huku nikimfinyia jicho.

Zena alishusha macho yake kwa aibu ya mahaba, akagusa mguu wangu chini ya meza kwa kutumia vidole vya mguu wake. "Bwana ee... nenda taratibu! Kwanza mgongo wangu mpaka sasa hivi unaniuma kwa ajili ya lile rundi la pili ulivyonipandilia kwa nyuma. Hukunihurumia kabisa..."

Tulicheka kwa pamoja huku tukinywa chai na kula kifungua kinywa. Mazungumzo hayo ya uwazi na vicheko vilifanya ukaribu wetu kuimarika zaidi. Tulikuwa tumetoka kuwa majirani wa kawaida na sasa tulikuwa wapenzi waliounganishwa na hisia nzito za mahaba ya kweli.

---

**Katika Episode Inayofuata (EPISODE 20: Kiu Isiyopoa na Ukaribu wa Kila Siku):**
Siku zilivyozidi kwenda, tulishindwa kabisa kutengana. Kila usiku ulikuwa ni wa kukutana chumbani na kufanya mapenzi kwa hamu mpya, na hapo ndipo hisia za mapenzi ya dhati zilipoanza kutawala mioyo wetu... Usikose Episode ya 20!