✦ Matangazo ✦

📖 Story Tamu

Episode 4: Ukweli wa Faragha na Machozi ya Hoteli

Saa kumi na moja jioni ilinikuta nikiwa nimekaa kwenye kona ya mbali kabisa ya mgahawa mmoja tulivu, huku glasi ya juisi mbele yangu ikiwa imeyeyuka barafu yote bila mimi kuigusa. Moyo wangu ulikuwa unadunda kwa fujo, ukipiga mdundo wa hofu na mashaka.

Ghafla, mlango wa kioo ulisukumwa na Happy akaingia. Alikuwa amevaa jinsi ya kubana iliyochora kila mdundo wa umbo lake, na shati jepesi la hariri lililoacha vifungo viwili vya juu wazi, akitembea kwa madaha na maringo yaliyovuta macho ya wanaume kadhaa waliokuwa pale. Alivuta kiti, akaketi mbele yangu huku akitabasamu tabasamu ambalo lilitawaliwa na kejeli kubwa.

"Mambo vipi mrembo? Kuna jambo gani la dharura hadi unaniita sehemu kama hii?" Aliongea huku akiashiria mhudumu amletee kinywaji.

Nilivuta pumzi ndefu, nikajiweka sawa, kisha nikamtazama moja kwa moja kwenye macho yake. "Happy, mimi na wewe ni marafiki wa muda mrefu. Nataka uniambie ukweli, naomba usinifiche kitu. Jumamosi iliyopita, mpenzi wangu aliniambia maneno yaliyoniacha na maswali mengi... aliniambia nenda kamwulize Happy kwanini anaishia dakika mbili kwangu. Na 'status' yako ya jana imenithibitishia kuna kitu unajua. Happy, una uhusiano gani na mwanaume wangu?"

Happy alicheka kwa sauti ya chini, akatikisa kichwa kisha akasogeza mwili wake karibu na meza, akinitazama kwa macho yaliyojaa dharau na ushindi.

"Ulitaka nikuambie lini lakini sasa umeuliza mwenyewe, acha nikufungue macho," Happy alianza, huku akishusha sauti yake iwe ya kunong'ona lakini yenye sumu kali. "Mwanaume wako hatembei nami kwa kuhisiwa, yuko na mimi kimwili na kiakili. Na kuhusu hizo dakika mbili unazolalamika..." Alinywa sipu moja ya kinywaji chake, akatabasamu, "...hilo ni tatizo lako, si lake."

Machozi yalianza kunilenga, lakini nikajikaza ili nimsikilize.

"Unajua kwanini kwako anaishia dakika mbili?" Happy aliendelea, bila kuwa na chembe ya huruma. "Ni kwa sababu hakutamani. Kwako anakuja tu kumaliza haja zake za haraka kama anajisaidia, hana hamu na wewe. Lakini akija kwangu, chumbani kwangu, tunafanya tendo la ndoa kama watu waliochanganyikiwa. Huwa ananivua nguo kwa adabu, ananilaza kwenye kitanda changu na kuanza kuninyonya kuanzia vidole vya miguu, mapaja, hadi sehemu zangu za siri kwa zaidi ya dakika ishirini mimi nikiwa nigaumia kwa utamu."

Maneno ya Happy yalianza kunichoma kama pasi ya mkaa, picha ya mwanaume niliyempenda akimfanyia rafiki yangu mambo hayo ilianza kunitesa kichwani.

"Akishaamsha ashki yangu vizuri," Happy aliendelea kuelezea kwa undani bila kuficha kitu, "huwa ananiingilia kwa ufundi wa hali ya juu. Siyo kwa pupa kama anavyokufanyia wewe. Huwa ananikata viuno taratibu, nami nampandisha juu, namzungushia kiuno changu cha unyago hadi analegea. Huwa tunabadilisha staili zaidi ya tano, mara ananiweka paka, mara ananikunja miguu kifuani... tunakwenda hivyo kwa nguvu na ustadi hadi tunafikisha dakika 30 au 40, sote tukiwa tumelowana jasho chumbani kwangu na kutosheka vizuri. Yule ni mwanaume kamili, sema tu kwako umeshindwa kumfanya awe vile anavyotakiwa kuwa."

"Happy... ulifanyaje hivi kwangu?" Niliuliza huku sauti ikinitoka kwa shida, machozi yakitiririka mfululizo sasa bila kizuizi.

"Nilifanya kwa sababu mwanaume mzuri haachwi kizembe kwa mwanamke asiyejua kumhudumia," Happy alisimama, akachukua mkoba wake. "Mwanaume wako anakupigia 'silent treatment' kwa sababu yuko kwangu sasa hivi, na usiku wa leo pia anakuja kulala kwangu kukamilisha dakika zake 30. Ushauri wangu kwako, nenda kajifunze mapenzi au umwachie mwanaume anayejua ladha yangu."

Happy aligeuka na kuondoka kwa madaha, akiniacha pale nikiwa nimepigwa na bumbuwazi, moyo wangu ukiwa umeraruliwa vipande vipande na siri ya dakika mbili sasa ikiwa imeweka wazi usaliti mchungu kuliko yote niliyowahi kuyajua.

---

**Katika Episode inayofata (Episode 5: Kisasi cha Kichaa na Simu ya Usiku wa Manane):**
Akiwa amejawa na hasira, wivu na maumivu ya kusalitiwa na mpenzi wake pamoja na rafiki yake wa karibu, binti anarudi nyumbani usiku huo na kufanya uamuzi wa kichaa wa kupiga simu kwa mpenzi wake katikati ya usiku, huku akijua yuko kitandani kwa Happy. Je, nini kitatokea simu hiyo ikipokelewa huku wawili hao wakiwa katikati ya tendo? Usikose **Episode 5** kuona dhoruba hii inavyozidi kuchafuka!