📖 Story Tamu

Episode 5:

Nilipochomoa nilifikiria matukio ya nyumba kwamba binti yule alikuja kwangu na kunizuia nisiende kwa mangi, nafikiri nia yake ilikuwa kunifanya nisipewe siri, mbaya zaidi ni kwamba nilikuwa nimeshalala na mke wa mganga, na nilikuwa nimeshaanza kukolea

Niliinuka kimya kimya bila kuaga nikaeleka zangu njia ya nyumbani, haikufika mbali, nikakutana na Zuhura, akiwa amebeba kapu kubwa ikionyesha kama vile katokea sokoni hivi

“Wow, Festo” aliniita nikamtazama kwa hasira tu na kupita zangu bila hata kumsalimia, lakini alikuja nyuma yangu akiwa anaongea maneno mengi mengi “ooh mbona hunisalimii, au kisa umeshapata ulichokuwa unakitaka,……we Festo si uongee,…..duuuh sawa lakini nimekuletea vitu vya kupikia” aliongea mwenewe mpaka tukafika nyumbani huku nikiwa bado nimemnunuia Zuhura

“baby umekuwa nini tena?” aliniuliza mtoto yule wa kike na kuweka kapu chini

“Zuhura, nimeshajua mipango yako yote, wewe na mganga ni kitu kimoja” nilisema na kufungua mlango nikaingia ndani na kuketi kwenye kiti, nikaona naye ameingia na kapu lake

“Kivipi jamani?” aliniuliza

“Yaani kumbe umetumwa kuja kunisanifu mimi? Hutaki niwe tajiri?” nilisema na kuinuka kwenye kiti nikmsogelea kwa hasira “usinifanye nikakuchukia milele Zuhura, umeshaniharibia mipango backup yangu, vitu vyote vile ulivyonionyesha kumbe ulitumwa na mume wako” nilisema kwa hasira

Nilishuhudia, taratiiibu akishuka binti chini na kupiga magoti huku machozi yakianza kumtoka

“Festo” aliniita mimi nikabaki naguna tu “ni kweli unayoyasema, niliagizwa na mganga nije nikuwekee vimbwanga, ili kukupima kama upo serious kwenye kutaka msaada wake, lakini Festo nimeshangaa nimekuja kuingia katika mapenzi mazito na wewe ninatamani kila mara niwe karibu yako, naomba unisamehe please, mimi mwanzo nilikuja kwa nia hiyo lakini sa hivi kiukweli nimeshakupenda kutoka moyoni na nataka tuendelee, ninakuahidi nitakulinda na pesa nitahakikisha unazipata ila sio kwa njia ya uchawi maana utateseka” aliongea maneno ya busara yaliyonishawishi kidogo, ndipo nikajikuta namtazama hasa ukijumlisha na uzuri aliokuwa nao, nkabaki naguna tu

“Festo, ushanisamehe?” aliniuliza huku akiinuka na kunisogelea akanikumbatia, mimi nikabaki njia panda bila kujua nimjibu nini…….

“Festo, ushanisamehe?” aliniuliza huku akiinuka na kunisogelea akanikumbatia, mimi nikabaki njia panda bila kujua nimjibu nini

Sasa katika kunikumbatia, zile chuchu zake saa sita zilikuwa zinanitekenya katika kifua changu nikajikuta najisugulia sugulia kwake, nikiwa nasikia raha, na akili zangu zilikuwa zikiniamba hivi “we endelea kupiga, kwani hata ukiacha sa hivi si itakuwa tayari umeshapiga hivyo basi hata pesa hautapata tena, halafu kile kimkufu si ushakitupa katika choo” akili ilikuwa inaniendesha hivyo

Hapo hapo, niliona Zuhura ameniwekea mikono yake shingoni na kunivuta kwa nguvu, nikaanza kuhisi pumzi yake ya moto ikigusa shingo yangu.

“Festo, mimi nakupenda sana na niko tayari kufanya chochote kwa ajili yako. Usiogope uchawi wa mume wangu, mimi najua siri zake zote na nitakulinda,” alisema kwa sauti ya chini iliyojaa mahaba.

Nilijikuta nimelegea kabisa, hasira zote zikayeyuka kama barafu juani. Nilimkumbatia kwa nguvu na kumnyanyua juu, tukajikuta tumerudi kule kule kitandani kwa mara nyingine tena. Akili yangu ilikuwa imeshasahau kabisa habari za mganga, mkufu, na hata utajiri wa kishirikina. Nilichokuwa nakihitaji kwa wakati ule ni Zuhura pekee.

Hata hivyo, katikati ya mahaba yale, tulisikia kishindo kikubwa nje ya mlango, kana kwamba kuna kitu kizito kimeanguka. Zuhura alishtuka na kunisukuma pembeni, macho yake yakamtoka kwa hofu.

“Festo! Mume wangu amejua!” alikata kauli huku akitetemeka.

Nilinyanyuka haraka na kuvaa bukta yangu, huku moyo ukinienda mbio kama mashine ya kusagia nafaka. Nilikumbuka maneno ya Ba Fetina kuwa mke wa mganga ni sumu, na sasa nilihisi sumu hiyo inakaribia kunimaliza.
Matangazo
Matangazo