✦ Matangazo ✦

📖 Story Tamu

Episode 17:

Songa nayo. . .
Usiku ulifika na baraka alikuwa ameshaandaa begi lake la nguo tayari kwa safari. .sakina naye alikuwa ameshaandaa begi lake na pesa za kutosha ambazo alikuwa amezichukua kwenye akaunti ya siri ya mume wake. .

Wakati wanajiandaa kutoka zakia aliingia chumbani kwa baraka na kumkuta akiwa na begi. .
“kaka unaenda wapi na begi hili usiku huu. .?

“zakia nisamehe mimi na mama tunatoroka hapa nyumbani tunaenda kuishi mbali kuanza maisha yetu”

Zakia alishtuka sana na kuanza kulia. .
“kaka kwanini unaniacha mimi hapa peke yangu na baba. .mnajua baba ananidhalilisha kila siku. .naomba na mimi mnikuchue niende nanyi”

Baraka alimtazama mama yake na sakina alitikisa kichwa kukataa. .
“mwanangu zakia wewe baki hapa na baba yako sisi tunaenda kuanza maisha yetu wenyewe”

“hapana mama kama hamnibebe mimi nita mpigia baba simu sasa hivi na kumwambia kila kitu”

Sakina na baraka walibaki wamepigwa na butwaa baada ya kusikia kauli ya zakia. .walijua wazi kuwa zakia akiwapigia simu baba yao mpango wao utafeli. .

“sawa zakia tutakuandama nenda kachukue nguo zako haraka haraka”

Basi zakia naye akaingia chumbani kwake na kuchukua nguo zake. .baada ya muda wote watatu walikuwa tayari. .walitoka nje ya nyumba na kuelekea stendi ya mabasi ya mikoani. .

Walikata tiketi za kuelekea mkoa wa Mwanza ambako sakina alikuwa na rafiki yake wa zamani ambaye angeweza kuwasaidia kuanza maisha. .

Basi basi lilianza safari usiku huo kuelekea Mwanza. .ndani ya basi baraka alikuwa amekaa katikati ya mama yake na dada yake. .mkono mmoja ulikuwa kwenye paja la mama yake na mwingine kwenye paja la dada yake.