✦ Matangazo ✦

📖 Story Tamu

Episode 8: Ukimya wa Kutisha na Machozi ya Anitha

Ule ukimya uliotawala chumbani baada ya picha ya Bakari kufifia ulikuwa wa tofauti sana. Anitha alibaki ameketi pale kitandani, akiangalia kile kioo ambacho sasa kilikuwa kinamwonyesha yeye peke yake, akiwa na macho yenye matumaini na hofu kwa mbali.

**Siku ya Kwanza:**
Anitha aliamka akiwa na msisimko wa ajabu. Alifanya usafi wa chumba chake kwa ufundi, akapulizia marashi ya kuvutia na kununua shuka mpya za hariri. Kila mara alipita mbele ya kioo na kutabasamu, akiamini Bakari anamuona kule aliko. "Niko tayari mpenzi wangu, nakusubiri," alinong'ona. Alishinda akijitazama kiooni, akijipamba na kuvaa nguo za mitego, akitegemea sauti ile itatokea kumsifia, lakini kioo kilibaki kimya. Alijifariji akijua Bakari yuko kwenye safari ngumu ya kuitafuta miili.

**Siku ya Pili:**
Hali ilianza kubadilika. Anitha alishinda chumbani kucha, akigusa kioo kila saa. "Bakari? Upo hapo?" Hakuna jibu. Hamu ya chakula ilimwisha. Alianza kuvaa lile taulo lake jeupe, akakaa uchi mbele ya kioo na kuanza kufanya ufundi aliokuwa amefundishwa na Bakari, akitegemea labda uchu wake utamvuta kijana huyo arudi mapema.

Alizungusha makalio yake, akapapasa matiti yake mpaka yakawa magumu kwa hamu, akatoa miguno ya mahaba iliyojaza chumba chote, lakini kioo hakikutoa hata kikohozi kimoja. "Mbona unanifanyia hivi?" alianza kuuliza kwa sauti ya kulalamika. Usiku wa siku ya pili ulianza kuwa mrefu, hofu ya kusalitiwa tena ikaanza kurejea moyoni mwake.

**Siku ya Tatu:**
Hii ndiyo ilikuwa siku ya ahadi. Anitha aliamka na macho mekundu kutokana na kukosa usingizi. Alikaa mbele ya kioo kuanzia asubuhi mpaka jioni, akiwa amevalia kigauni chake kifupi cha kulalia ambacho hakikustiri chochote. Alikuwa akilia kwa uchungu, machozi yakitiririka na kudondoka kwenye vifua vyake.

"Wewe ni msaliti kama wanaume wengine!" Anitha alipiga kelele akikiambia kioo. "Uliniahidi utakuja... uliniahidi utakuwa wangu. Kumbe hata wewe roho ulikuwa unanichezea tu? Ulifurahia kuuona mwili wangu ukiwa uchi, ukafurahia kuona ufundi wangu kisha ukaniacha?"

Alishindwa kuvumilia, akajitupa kitandani na kulia kwa sauti ya kwikwi. Alijihisi mjinga kupenda kivuli, mjinga kuamini sauti iliyotoka kwenye kioo. Aliamua kuwa kuanzia kesho, atakichukua kile kioo na kukitupa jalalani au kukivunja-vunja.

Wakati akizama kwenye dimbwi la huzuni na kukata tamaa, saa za usiku zikiwa zinasonga, ghafla ukimya wa chumba kile ulivunjwa na sauti moja ya kishindo.

*Tog! Tog! Tog!*

Hodi nzito na ya uhakika iligongwa mlangoni. Anitha alishtuka, akanyanyua kichwa chake huku akifuta machozi. Moyo wake ulianza kudunda kwa kasi. Alifikiri labda ni wapangaji wenzake, lakini hodi ile ilikuwa na mamlaka tofauti.

*Tog! Tog! Tog!* "Anitha... nifungulie. Nimetimiza ahadi."

Sauti ile haikutokea kioni, ilitokea nje ya mlango. Ilikuwa sauti ya binadamu, yenye nyama na pumzi. Anitha alitetemeka mwili mzima, akasimama taratibu huku akirekebisha kigauni chake kilichokuwa kimepanda juu.

---

**Inayofata:**
Katika **Episode 09: Mguso wa Nyama na Damu**, utaona jinsi Anitha anavyofungua mlango na kukutana na kijana mtanashati kuliko hata picha aliyoiona kioni. Je, Bakari ataanza vipi ufundi wake akiwa na mwili kamili? Usikose muendelezo huu wa mahaba mazito!