UREVU WA ASHA NA ZAINABU
Kelele zile za Sofi ziliendelea kutanda usiku kucha. Juma hakumpa pumzi hata kidogo; kila Sofi alipojaribu kuomba poo, Juma alimbadilisha mtindo—mara amnyanyue mguu mmoja juu, mara amlaze kifudifudi—hadi pale Sofi alipomwaga udongo mara tatu mfululizo na kubaki anatetemeka mwilini kama aliyetoka kwenye maji ya barafu.
Kwenye vyumba vya jirani, hali ilikuwa mbaya zaidi. Nyumba haikuwa na dali, hivyo kila msukumo wa Juma na kila kelele ya Sofi vilisikika kwa uwazi kabisa. Asha alikuwa amelala kitandani kwake akijipapasa mapaja, jasho likimtiririka kwa hamu iliyomshika ghafla. Hakuviamini masikio yake—mwanaume yule aliyemkejeli kuwa "hana nguvu" ndiye aliyekuwa akimfanya binti wa chuo alie na kuomba msamaha usiku kucha.
Chumba cha pili, Zainabu naye alikuwa hana amani. Alishindwa hata kufunika blanketi; alibaki akigeuka huku na huko kitandani, mkono wake ukienda taratibu chini ya chupi yake huku akisikiliza vishindo vya sponji ya Juma ikigonga ukuta: Pah! Pah! Pah!
Kuchelewe kuche, saa kumi na moja za asubuhi, Sofi alitoka chumbani kwa Juma akitambaa na kushika kuta. Miguu yake ilikuwa ikitetemeka kabisa, na mwendo wake ulikuwa wa kuvutavuta miguu. Asha na Zainabu waliokuwa wanasikiliza mlangoni walichungulia kwa siri na kumwona Sofi akiwa na sura iliyojaa uchovu lakini yenye tabasamu la kuridhika ajabu.
Asubuhi ilipofika, hali ya hewa nyumbani hapo ilibadilika ghafla. Hakuna mwanamke aliyeteta tena wala kutoa kejeli. Dharau zote zilipotea na nafasi yake ikachukuliwa na shauku kubwa.
Asha, akiwa hawezi kuvumilia hamu iliyomjaa usiku kucha, aliamua kutumia mbinu ya ujanja. Alivaa khanga moja nyepesi sana iliyoonyesha umbo la makalio yake makubwa na matiti yake yaliyotuna, kisha akachukua bakuli dogo na kwenda kugonga mlango wa Juma.
"Kaka Juma... hodi," Asha alinong'ona kwa sauti ya mpole mno iliyojaa utulivu, tofauti kabisa na ule mdomo wake wa siku zote.
Juma alipofungua mlango akiwa amevaa msuli tu, Asha alibaki amekaza macho kifuani kwa Juma na kutupa jicho chini. Moyo wa Asha ulimwenda mbio aliposhuhudia maumbo ya Juma.
"Kuna nini Asha?" Juma aliuliza kwa sauti kavu na ya kimamlaka.
"Aah... nilikuwa naomba msaada wa chumvi kidogo kaka Juma, jikoni kwangu imeniishia," Asha alisema huku akirembua macho na kujipitisha karibu na Juma ili amguse kwa makusudi.
Kabla Juma hajajibu, Zainabu naye alitokea koridoni akiwa amejifunga taulo fupi tu linaloishia mapajani. Alikuwa ameshika taa ndogo ya chemli.
"Kaka Juma, naomba unisaidie kurekebisha hii taa yangu mara moja, imekataa kuwaka tangu jana usiku," Zainabu alisema kwa sauti ya kike yenye mahaba, akiingilia kati ili Asha asipate nafasi peke yake.
Wanawake hawa wawili walianza kutazamana kwa macho ya wivu na ushindani wa waziwazi mbele ya mlango wa Juma, kila mmoja akijaribu kuonyesha maungo yake ili kumvuta mwanaume huyo ambaye usiku mmoja tu uliopita walimwita "mwanaume wa plastiki."
Juma alitazama mchezo ule wote na kutabasamu kwa ndani. Alijua vizuri kuwa samaki wote walikuwa wameingia kwenye wavu.
Katika Episode Inayofuata (EPISODE 5: AMUONJESHA ASHA MOTO):
Asha anafanikiwa kuingia chumbani kwa Juma kwa kisingizio cha kurudisha bakuli la chumvi. Lakini akishaingia ndani, Juma hamfanyi msamaha; anampa dozi nzito ya kumfundisha adabu kutokana na kejeli zake za bafuni. Usikose Episode 5!