Episode 25: SAFARI YA MATUMAINI HEWA NA SOKO LA UTUMWA
Karatasi ile niliyokuwa nimeishika mkononi ilikuwa kama hukumu ya kifo. Yale maneno **"Mkataba wa kuuza wasichana nje ya nchi (Oman)"** yalifanya miguu yangu iishe nguvu. Niliitazama migongo ya bosi wangu wa kwanza huku akifungua mlango wa gari lake la kifahari kwa bashasha, akijifanya mkombozi wangu, kumbe alikuwa ni dalali wa binadamu.
"Ingia Marina, hapa mjini pameshakuwa na gundu kwako. Twende tukapumzike, kisha nikuandalie safari ya kwenda kutafuta maisha mazuri zaidi ya haya ya gesti chafu," bosi alisema huku akinitolea tabasamu ambalo safari hii lilinionekana kama la shetani.
Niliingia ndani ya gari huku nikijaribu kuficha hofu yangu. Akili yangu ilikuwa inafanya kazi kwa kasi ya 180. Niliwaza: "Nikikataa, ataniacha hapa polisi na nitafungwa kwa kashfa ya Mbunge. Nikikubali, nakwenda kuwa mtumwa." Niliamua kucheza mchezo wa akili.
"Asante bosi kwa kunitoa kule selo. Nilijua wewe ndiye mwanaume pekee unayenijali," nilisema huku nikijegemeza kwenye bega lake. Bosi alicheka kwa furaha na kuanza kunipapasa paja langu. "Umeona eh? Wale vijana wa mjini kama Juma wanataka kukutumia tu, lakini mimi nataka kukuendeleza."
Tulirudi kwenye ile gesti yake ya zamani. Kila kitu kilikuwa kilekile, lakini safari hii kulikuwa na wasichana wengine wapya kama watano, wote walikuwa warembo na walionekana kuwa na hofu. Bosi alinipeleka kwenye chumba changu cha zamani, kile kilichojaa kumbukumbu za maumivu yangu ya kwanza.
"Pumzika Marina. Kesho asubuhi tutakwenda kuchukua pasipoti yako. Kuna fursa kubwa imepatikana huko uarabuni, utakuwa msimamizi wa hoteli kubwa, mshahara ni mkubwa sana," bosi alidanganya bila hata kupepesa macho.
Usiku ule, nikiwa nimejifungia, nilisikia sauti za wasichana wenzangu wakilia chumba cha jirani. Nilitoka nje kwa kunyata na kwenda kuchungulia. Niliwaona wakiwa wamefungiwa na wanaume wawili wenye sura za kikatili wakikagua afya zao kama wanakagua ng'ombe sokoni.
"Huyu Marina ana bei kubwa, hakikisha hapotei. Yeye ndiye atakuwa zawadi maalum kwa bosi wa kule Oman," nilimsikia mmoja wa wale wanaume akimwambia mwenzake.
Nilirudi chumbani kwangu nikiwa nimekata tamaa. Nilizitazama zile laki saba zangu nilizokuwa nimezificha vizuri tangu mwanzo. Niligundua kuwa pesa pekee haitoshi kuniokoa; nahitaji msaada. Nilikumbuka simu ya siri niliyokuwa nimeiba kule polisi wakati wa mahojiano. Niliwasha ile simu na kuanza kutafuta namba ya mtu mmoja tu ambaye angeweza kuivuruga hii biasharaβMke wa Benson, Mama Shua!
Nilijua Mama Shua ana hasira na mimi, lakini pia ana chuki na biashara zote za ukahaba na anajua watu wazito serikalini. Nilituma ujumbe mfupi: *"Mama Shua, nisaidie. Niko kwenye mikono ya wauza binadamu. Wakati unanipiga hotelini, huku ndiko nilikotokea. Njoo uokoe wasichana wasio na hatia."*
Dakika kumi baadaye, nilisikia mlango wangu ukifunguliwa. Haikuwa Mama Shua, bali alikuwa bosi. Alikuwa amevaa kanga moja tu kiunoni, na safari hii alikuwa na chupa ya pombe mkononi. "Marina, kabla hujasafiri kesho, nataka nikuage vizuri. Nataka nione kama bado uko vilevile nilivyokuacha mara ya kwanza."
Bosi alinivuta na kunitupa kitandani, huku akianza kunivua nguo zangu kwa nguvu. "Leo nitakutumia mpaka nione damu, maana huko unakoenda hutopata nafasi ya kupumzika!"
---
**Inaendelea...**