Episode 13: HASIRA ZA BOSI NA DHULUMA YA PESA
Bosi alikuwa amesimama mbele yangu kama simba aliyekasirika. Macho yake yalikuwa yakinitazama kwa ukali, kisha akamgeukia yule mteja (fundi) ambaye alikuwa anatoka chumba namba 8 akiwa anajinyoosha shati lake.
"Marina, nimekuuliza unafanya nini hapa na huyu mwanaume?" Bosi aliniuliza huku akisogea hatua moja mbele.
"Bosi... mimi... nilikuwa nampelekea sabuni na taulo alizokuwa ameomba," nilidanganya huku sauti ikinitetema, mkono wangu ukiwa umebania ile sidiria yenye laki moja ili pesa isidondoke.
Bosi hakukubali ule uongo. Alimsogelea yule fundi na kumuuliza, "Huyu mhudumu amekufanyia nini mle ndani?" Yule fundi, ambaye alikuwa mjanja wa mjini, alicheka tu. "Bosi, huyu mrembo wako ni fundi wa usafi, amenifanyia usafi wa roho kweli kweli. Sasa mimi nasepa," yule fundi alisema na kuondoka zake huku akiniwinkia jicho.
Bosi alishikwa na hasira zaidi. Alinivuta mkono wangu kwa nguvu mpaka chumbani kwangu. "Wewe ni mjinga sana Marina! Unadhani mimi sijui unachofanya? Hebu toa hizo pesa ulizopewa!" bosi alinguruma.
"Sijapewa pesa yoyote bosi, niamini!" nilijitetea huku nikilia.
Bosi alianza kunipekua kwa nguvu. Alinitupa kitandani na kuanza kunishika-shika mwili mzima akitafuta pesa. Haikuchukua muda, mkono wake uliingia ndani ya sidiria yangu na kutoa lile bunda la laki moja. Macho yake yalimlika kama ya paka.
"Hii ni nini? Kumbe unaanza kunifanyia dhuluma kwenye biashara yangu?" Bosi alizichukua zile pesa zote na kuziweka mfukoni kwake. "Kwa sababu umenidanganya, hizi pesa nachukua zote kama faini. Na leo huli chakula cha usiku!"
Bosi alitoka nje na kufunga mlango wangu kwa nje. Nilibaki nalia kwa uchungu kitandani. Niliumia kupoteza laki moja kwa dakika moja, na niliwaona wanaume wote ni wanyama. Lakini nikiwa nalia, nilikumbuka kuwa bado nina laki tano zilizojificha chini ya godoro ambazo bosi hakuziona.
Niliketi na kuanza kufikiria. Maisha ya gesti yalianza kunichosha kwa upande mmoja, lakini yalinifanya niwe mjuaji. Nilianza kupanga jinsi ya kumpindua bosi. Niliwaza: "Kama yeye anachukua pesa zangu, basi nami nitahakikisha napata wateja wa nje ambao hatowajua."
Usiku ule, nikiwa nimefungiwa, nilisikia mlango ukifunguliwa taratibu. Nilihisi ni bosi amekuja kunipa adhabu nyingine ya ngono, lakini nilishangaa kumuona mtu mwingine kabisa... alikuwa ni kijana mmoja mtanashati aliyekuwa amepanga chumba cha jirani, na alikuwa ameshikilia sahani ya chakula na kunitazama kwa huruma.
---
**Inaendelea...**