✦ Matangazo ✦

📖 Story Tamu

Episode 10: FUMANIZI LA BOSI NA ADHABU YA USIKU

Swali la bosi lilinigandisha damu. Niligundua kuwa nimefanya kosa kubwa kurudi mapokezi bila kuoga au kubadilisha nguo baada ya kutoka chumba namba 10 kwa yule kijana. Harufu ya yule kijana ilikuwa imetanda mwilini mwangu, na bosi, ambaye alikuwa na wivu wa kike, alishaishtukia.

"Bosi... nilikuwa nafanya usafi kule vyumba vya nyuma," nilijitetea kwa sauti ya kutetemeka, huku nikijaribu kukwepa macho yake yaliyokuwa kama yanawaka moto.

"Usafi gani unaofanywa chumba namba 10 kwa saa nzima? Na tangu lini usafi ukaacha harufu ya marashi ya kiume mwilini mwako?" Bosi alinisogelea na kunishika taya langu kwa nguvu, akiniinua uso nimtazame. "Marina, nilikuambia wewe ni malaya wangu. Ukianza kuwapa wateja wangu hapa hapa, unanidharau!"

Bosi alinivuta kwa nguvu mpaka chumbani kwake. Alifunga mlango na kunisukumia kitandani. Alikuwa na hasira kiasi kwamba nilihisi safari hii ataniua. Alianza kunivua nguo kwa fujo huku akinitukana. "Leo nitakufundisha adabu ambayo hutosahau. Unadhani hizo pesa za wateja zitakusaidia nini nikikufukuza?"

Usiku ule bosi alinifanyia mambo ya kinyama. Alitaka kunikomoa ili nione kuwa yeye ndiye kiranja wa mwili wangu. Alinitumia kwa saa nyingi bila huruma, akinitaka nifanye kila uchafu aliokuwa anaufikiria kichwani kwake. Nilikua nalia na kuomba msamaha, lakini bosi alikuwa kama amepagawa na pepo la ngono na wivu.

"Sikia Marina," bosi aliniambia huku akihema baada ya kumaliza adhabu yake. "Kuanzia kesho, kila mteja atakayekugusa, nusu ya pesa utakayopata ni yangu. Vinginevyo, nakupeleka polisi kwa kosa la kufanya ukahaba kwenye biashara yangu."

Nilibaki nimejiinamia kitandani, nikijihisi mnyonge na mchafu kuliko wakati wowote. Lakini ndani ya moyo wangu, badala ya kuogopa, nilianza kujenga roho ya kikatili. Niliwaza: "Kama bosi anataka nusu ya pesa, basi nitahakikisha napata wateja wengi zaidi ili nibaki na kiasi kikubwa."

Tayari akili yangu ilikuwa imeshaharibika. Nilikuwa sioni tena umuhimu wa heshima wala utu. Kitu pekee kilichokuwa na maana ni zile laki tano nilizopewa na yule kijana na zile nyingine zilizokuwa chini ya godoro.

Asubuhi iliyofuata, nilijitazama kwenye kioo. Macho yangu yalikuwa na ujasiri wa ajabu. Niliipaka lipstick yangu nyekundu kwa nguvu, nikajipulizia marashi makali, na kutoka kuelekea mapokezi. Safari hii nilikuwa nimeamua kuwa "Malaya Rasmi" wa ile gesti, na kila mwanaume aliyekuwa anaingia, nilikuwa namtazama kama shamba la kuvuna pesa.

Pale mlangoni, alishuka mwanaume mwingine kutoka kwenye gari la kifahari. Nilitabasamu tabasamu la hila, nikijua kuwa biashara imeanza tena.

---
**Inaendelea...**