✦ Matangazo ✦

📖 Story Tamu

Episode 1: MAISHA MAGUMU NA KAZI MPYA

Mimi ni msichana niliyepata malezi ya kijijini, maisha yetu yalikuwa ya duni sana kiasi kwamba kula yetu ilikuwa ni ya shida. Nilikuwa nimehitimu kidato cha nne lakini kutokana na ukosefu wa ada, sikuweza kuendelea na masomo ya juu. Siku moja shangazi yangu anayeishi mjini alikuja kututembelea kijijini kwetu. Alipoona hali yetu, alimwomba mama anichukue niende mjini akitafutie kazi ili nisaidie familia.

Mama alikubali kwa furaha, akijua kuwa angalau nitapata chochote cha kuwasaidia wadogo zangu. Tulifunga safari mpaka mjini. Nilipofika mjini, nilishangaa sana kuona majumba makubwa na magari mengi, kwani mimi nilikuwa mshamba kabisa. Baada ya kukaa kwa shangazi kama wiki mbili, siku moja aliniambia:

"Mwanangu, nimekupatia kazi ya kufanya usafi na kuhudumia wateja kwenye nyumba moja ya wageni (Gesti). Bosi wa pale ni rafiki yangu, nimeshamalizana naye kila kitu."

Nilifurahi sana. Kesho yake asubuhi shangazi alinipeleka mpaka kwenye ile gesti. Ilikuwa ni gesti ya wastani lakini yenye mazingira ya utulivu. Bosi alinipokea vizuri, alikuwa ni mwanaume wa makamo na mwenye busara kwa kumuangalia. Alinipeleka kunionyesha chumba nitakachokuwa nalala na kunielekeza majukumu yangu.

"Kazi yako ni rahisi," bosi aliniambia. "Kazi yako ni kuhakikisha vyumba viko safi, kufua mashuka, na kupokea wateja wanaokuja kupumzika. Pia utakuwa unakaa hapa mapokezi (reception) muda mwingi."

Nilianza kazi kwa bidii. Siku ya kwanza ilipita vizuri bila shida yoyote. Lakini siku ya pili, kuelekea usiku, nilianza kuona mambo ambayo sijawahi kuyaona maishani mwangu. Wateja walikuwa wanaingia wawili wawili, mwanaume na mwanamke. Walikuwa wanakuja huku wamekumbatiana na kucheka kwa sauti za chini.

Nakumbuka usiku ule wa kwanza, nikiwa nimekaa mapokezi, alikuja mteja mmoja na msichana mrembo sana. Walichukua chumba namba 4. Baada ya muda mfupi, nilisikia kelele za ajabu zikitokea kwenye kile chumba. Nilikuwa mgeni wa mambo hayo, nilishtuka nikidhani labda msichana anapigwa au anaumwa.

Niliamua kusogea karibu na mlango wa chumba kile ili nisikilize vizuri. Nilichosikia kiliniacha nimepigwa na butwaa. Nilimsikia yule msichana akilia kwa sauti ya mahaba, "Ooooh babe... asantee... utamu unaniuaaa..."

Moyo wangu ulianza kupiga paap paap! Sikuwahi kusikia sauti kama ile. Nilijikuta natamani kuona nini kinaendelea ndani ya kile chumba. Nilitafuta tundu dogo kwenye mlango wa mbao wa kile chumba ili nichungulie... na hapo ndipo safari yangu ya kuanza kuharibika kifikra ilipoanzia.

---
**Inaendelea...**