✦ Matangazo ✦

📖 Story Tamu

Episode 5: Tamaa ya Kukata Tamaa

Niliwasili mlangoni kwa Michael nikiwa na pumzi zinayonibana. Nilitamani Michael anichukue hapo hapo, anipasue kama ni kunipasua, lakini angalau huu moto mwilini utulie. Nilipogonga, Michael alifungua mlango akiwa amevaa shati na suruali, na mkononi alikuwa ameshika begi dogo la safari.

"Michael, usiniambie unaondoka," nilisema kwa sauti ya kulalamika huku nikimshika kiuno na kujigubika kifuani kwake.

"Zakia, nina dharura kubwa sana kazini. Lazima niondoke sasa hivi," aliniambia huku akijaribu kuniondoa mikono yake kwa upole.

"Hapana Michael, nataka sasa hivi. Siwezi kuvumilia," nilimsihi nikiwa nimepoteza aibu yote. Nilikumbuka maneno ya Jenifer kuhusu kuumizwa, lakini kwa wakati ule, maumivu yalionekana kuwa bora kuliko hamu niliyokuwa nayo.

Lakini Michael alikuwa na msimamo. Alinitazama kwa macho ya huruma, akanibusu paji la uso na kusema, "Nikirudi nitakupa dozi itakayokusahaulisha kila kitu. Kwa sasa, nitasamehe." Aliondoka na kuniacha nimesimama mlangoni kwake kama sanamu.

Nilirudi nyumbani nikiwa nimechanganyikiwa. Nilijaribu kutumia mwiko wa jikoni kujituliza, nikajikanda na maji ya moto, lakini yote hayakuzaa matunda. Kisimani kulizidi kuwasha na misuli ilikaza kiasi cha kunifanya nitembee nimeibana miguu.

Nikiwa nimekata tamaa kabisa, nilichungulia nje na kumwona kijana mmoja anapita akiwa na ndoo ya mahindi ya kuchemsha. Akili yangu ilinituma vibaya. "Huyu huyu, liwalo na liwe!" nilijiambia.

"Kaka, njoo hapa!" nilimwita.

Kijana yule alikuja akidhani nataka kununua mahindi. Nilimvuta ndani ya nyumba yangu na kufunga mlango. Alishangaa sana kuona mwanamke mrembo kama mimi nikiwa na haraka ya namna ile. Nilimvua shati lake na kuanza kumshusha suruali, lakini nilipofika kwenye boxer yake, nilikutana na harufu kali iliyonifanya nishite kwa sekunde.

Pamoja na harufu hiyo, niliendelea. Niliishusha boxer yake chini ili nione "nyoka" wake atakayeniokoa, lakini macho yangu yaliganda. Nilichokiona kilikuwa ni kovu kubwa na kipande cha mpira; kijana yule hakuwa na maungo ya kiume!

"Mbona uko hivi?" nilimuuliza kwa mshtuko.

"Dada, madaktari walinikata kwa sababu ya ugonjwa, wakaniwekea hiki kifaa cha kunisaidia tu kujisaidia haja ndogo," aliniambia kwa sauti ya upole.

Niliishiwa pozi kabisa. Nilimpa elfu tano na kumwambia aondoke haraka na mahindi yake. Nilibaki nimekaa kwenye sofa, nikiwaza kama nimerogwa au ni mkosi gani huu unaniandama?

***

**Kionjo:** Wakati Zakia akiwa bado anahangaika na hali yake, anatokea kijana mwingine mtanashati anayetoa huduma ya kusafisha kucha (pedicure). Je, huyu atakuwa ndiye mkombozi wa Zakia, au na yeye ana siri nyingine itakayomwacha Zakia na mshangao?

**Itaendelea Sehemu ya 6.**