Episode 3: Kati ya Hofu na Mahaba
Michael alikuwa ananivuta mwilini mwake huku tukiwa ndani ya maji. Kila aliponigusa, mwili wangu ulisisimka, lakini hofu ya kile nilichokiona kwenye taiti yake ilikuwa bado inatawala akili yangu. Nilijinasua na kutoka kwenye bwawa, nikiwa nimelowa tepe tepe.
"Michael, naomba niondoke. Nguo zangu zimelowa sana," nilisema huku nikitetemeka.
"Usiogope Zakia, siwezi kukufanya kitu bila ridhaa yako," Michael alijibu kwa sauti ya upole iliyojaa ushawishi. Alitoka kwenye maji, akachukua taulo na kunifunga, kisha akaniongoza kuelekea ndani ya nyumba yake.
Tukiwa sebuleni, Michael alianza kuniambia maneno matamu. Alidai kuwa tangu mara ya kwanza aliponiona nikimkaribisha mtaani, moyo wake ulichizika. Alisogea karibu na kuanza kunilamba masikioni, mkono wake mmoja ukichezea kiuno changu. Nilianza kupagawa. Maandalizi yake yalikuwa ya kiwango cha juu, yakinisababishia kutoa miguno niliyoshindwa kuidhibiti.
Lakini wakati joto linapanda na Michael anajiandaa kunibeba kuelekea chumbani, mlango wa nje ulisukumwa kwa nguvu. Alikuwa ni Jenifer!
"Eeeh! Majirani, mara hii mmefikia hatua hii?" Jenifer aliuliza huku akitutazama kwa dharau na mshangao.
Nilikurupuka na kujifunika taulo vizuri, aibu ikinitawala. Jenifer hakunifokea, badala yake alinitazama kwa huruma na kusema, "Wewe mwanamke kiboko. Hili 'naniliu' limemshinda kila mtu, mimi mwenyewe hadi leo sitembei vizuri, lakini wewe unaonekana upo fiti. Bahati yako leo nimeingia, ningekuacha ungejuta kuzaliwa."
Sikungoja maelezo zaidi. Nilikimbia kuelekea kwangu nikiwa nimefunikwa na taulo tu, huku nikitetemeka kwa aibu na hofu ya kile Jenifer alichokisema. Nilipofika mlangoni kwangu, nilikutana na mshangao mwingine. Ben, mpenzi wangu wa zamani ambaye tulishaachana miezi mingi iliyopita, alikuwa amesimama pale anasubiri.
***
**Kionjo:** Ben anasisitiza kuingia ndani akidai amebadilika na sasa ni "imara" kuliko zamani, lakini Zakia akiwa bado ana uchu wa Michael, anajikuta akimtumia Ben kama kipoza joto. Je, Ben ataweza kumaliza kiu ya Zakia, au ndiyo yale yale ya kuzimia katikati ya mchezo?
**Itaendelea Sehemu ya 4.**