✦ Matangazo ✦

📖 Story Tamu

Episode 8: MCHEZO WA AKILI

Mama Sharon alizidisha macho yake makali, akivuta hewa kwa nguvu puani mwake kama mbwa wa uwindaji. Harufu ya *Vanilla* ilikuwa bado mbichi kabisa hewani, ikipambana na joto la kufanya mapenzi lililojaa chumbani humo.

"Harufu hii..." Mama Sharon alifoka, macho yakimtoka. "Hii ni marashi ya Sharon! Na mashuka yako yamevurugika namna hii, una nini humu ndani? Kijana niondolee huu mkono wako mlangoni niingie nianze kukagua! Kama binti yangu yumo humu ndani, leo mtajua mimi ni nani!"

Kenedy alihisi kijasho chembamba kikimtoka mgongoni, lakini alijua akipaniki tu, kila kitu kimeharibika. Alishusha uso wake, akabadili sauti na kuwa ya upole uliotulia, akamwangalia Mama Sharon moja kwa moja machoni.

"Mama Sharon, heshimu umri wako jamani," Kenedy aliongea kwa sauti ya kiume iliyochanganyika na msisitizo. "Unasema harufu ya marashi ya binti yako? Haya marashi nimenunua mimi mwenyewe Sinza makaburini kwa ajili ya kujipulizia chumbani kwangu ili kuondoa harufu ya unyevu. Na kuhusu binti yako... mimi nimetoka kazini saa saba usiku nikiwa nimechoka, nimekuja kulala. Unanivunjia heshima yangu kuja kunisingizia nina binti yako humu ndani uchi? Kuingia chumbani kwangu hukagui, labda uje na mwenye nyumba asubuhi!"

Wakati Kenedy akiongea kwa kujiamini, chini ya uvungu wa kitanda, Sharon alikuwa amebana pumzi kiasi kwamba machozi yalianza kumtoka. Mikono yake ilikuwa imekumbatia lile gauni la hariri kifuani, akisikiliza kila neno la mama yake. Alijua mama yake ana tabia ya kukagua hadi mwisho.

Mama Sharon alirudi nyuma hatua moja, akisita. Maneno ya Kenedy ya kujiamini na tishio la kuhusisha mwenye nyumba yalimfanya afikirie mara mbili. Lakini kabla hajakubali kuondoka, alinyosha shingo yake na kuangalia chini ya kitanda kwa mbali. Bahati nzuri, chumba kilikuwa na giza kiasi upande wa uvunguni, na Sharon alikuwa amejibanza nyuma kabisa ya boksi la viatu vya Kenedy.

"Sawa! Ngoja nitafute kila kona ya hii nyumba. Lakini nikigundua unajua alipo, utahama hii nyumba asubuhi na mapema!" Mama Sharon alitemema mate chini kwa hasira, akageuka na kuanza kuondoka kwa hasira kuelekea uwanja wa nyuma akipiga kelele, "Sharon! Sharon uko wapi wewe?!"

Kenedy alisubiri hadi sauti ya hatua zake ilipoenda mbali, kisha akafunga mlango kwa haraka na kuweka ufunguo. Aligeuka na kupumua kwa nguvu, "Fyuuuu!"

"Asubuhi ishafika..." sauti ya mtetemeko ilitoka chini ya kitanda.

Sharon alitoka taratibu chini ya uvungu, akitambaa. Mwili wake ulikuwa umechafuka vumbi kidogo kifuani na kwenye mapaja. Alisimama uchi kabisa mbele ya Kenedy, macho yake yakiwa yamejaa woga lakini kwa ndani kukiwa na msisimko wa hatari waliotoka kuuoga. Alijitupa kwenye mikono ya Kenedy, akizama kifuani kwake huku akitetemeka.

"Kenedy, asante... niliwaza tu jinsi atakavyonidhalilisha," Sharon alinong'ona, akinyanyua uso wake uliokuwa na jasho jepesi.

Kenedy alimtazama Sharon. Jinsi alivyokuwa uchi, matiti yake yaliyoshiba yakijigidiza kwenye kifua chake cha wazi, na ule woga uliochanganyika na hamu ya kimapenzi vilimfanya Kenedy ahisi dume lake likirudi tena kwenye uzima kwa kasi ya ajabu. Alimshika Sharon kiunoni, akamvuta karibu zaidi.

"Ameshapita... sasa hivi yuko upande wa pili wa nyumba," Kenedy alinong'ona, sauti yake ikianza kuwa nzito tena. "Tuna dakika chache kabla hajarudi hapa."

Sharon alitabasamu katikati ya woga wake. Alitanua miguu yake na kurukia kiuno cha Kenedy, akining'inia mzima mzima mwilini mwake. Kenedy alimbeba hadi kitandani, safari hii wakiwa na mzuka mkubwa zaidi uliosababishwa na taharuki ya suala la Mama Sharon.

---

**Utangulizi wa Episode Inayofuata:**
Katika Episode inayofuata, **EPISODE 9: UTAMU WA HATARI**, Kenedy na Sharon wanarudiana kitandani kwa kasi ya ajabu na mapenzi ya kufa au kupona. Wakijua muda ni mchache, Sharon anamzungushia Kenedy miguu yake yote miwili kiunoni huku Kenedy akipiga pini za nguvu za fasta fasta zenye miguno ya ndani kwa ndani, miili yao ikitengeneza joto la ajabu. Lakini asubuhi inapofika, maisha ya mchana yanarudi na Mama Sharon anaita kikao cha wapangaji wote asubuhi hiyo hiyo! Usikose!