✦ Matangazo ✦

📖 Story Tamu

Episode 16: AHADI YA KITANDANI

Sauti za miguno na pumzi nzito zilianza kutulia taratibu chumbani, huku milio ya kuteleza kwa miili yao iliyolowana jasho ikichukuliwa na mrumo wa utulivu wa AC. Kitanda kizima kiliacha kutikisika. Tino alijilaza chali, kifua chake imara kikipanda na kushuka kwa utulivu, huku mkono wake mmoja wa kulia ukiwa umemkumbatia Cynthia. Cynthia alikuwa amelala kwa ubavu, kichwa chake kikiwa juu ya kifua cha Tino, huku paja lake mweupe na laini akiwa amelifungia juu ya miguu ya Tino, miili yao ikiwa bado haijagusana na nguo yoyote.

Cynthia alipitisha vidole vyake mieupe kwenye kifua cha Tino, akivuta harufu ya kiume iliyochanganyika na jasho la mapambano na uwanja wa mahaba. Alishusha pumzi ndefu ya amani, macho yake yakionyesha unyenyekevu wa dhati.

"Tino," Cynthia alinong'ona, akinyanyuka kidogo na kumtazama Tino laivu machoni, maziwa yake yaliyolowana jasho yakigusa kifua cha Tino. "Mimi Cynthia wa jana na wa leo ni watu wawili tofauti. Jana nilikuwa malaya wa fikra niliyedanganyika na magari ya azima na maneno ya kihuni ya Eddy. Somo nililolipata kwako tangu jana usiku hadi dhoruba ya punde siwezi kulisahau maishani mwangu. Umehatarisha maisha yako, umepigana na wahuni wenye mapanga kwa ajili ya kulinda utu wangu."

Tino alitabasamu kidogo, akanyosha mkono wake na kumshika Cynthia nywele zake na kuzichezea taratibu. "Nilikwambia, ukiwa chini ya paa langu, wewe ni jukumu langu. Sipendi kuona mwanamke anadhalilishwa mbele yangu."

"Mimi sitaki tena mwanaume mwingine yeyote mbali na wewe, Tino," Cynthia aliongea kwa msisitizo, machozi ya mahaba yakimlenga. Alisogea mbele na kupiga busu zito kwenye midomo ya Tino kabla ya kuendelea. "Naapa mbele yako leo, naacha kabisa maisha ya anasa za kijinga za mjini. Nataka kuwa mwanamke wako rasmi wa ndani, nikuandalie chakula, nifanye usafi, na nikupe utamu huu kila utakapo. Eddy na uhuni wake kwangu wamekufa rasmi leo."

Tino alimvuta Cynthia karibu zaidi, wakagandana uchi huku kila mmoja akihisi joto la mwenzake. Tino alihisi kupona kwa lile jeraha la zamani la kuachwa kwa umaskini; safari hii alijua amemteka mwanamke sio kwa kuonyesha mamilioni yake, bali kwa uanaume na ulinzi wa kweli.

Wakati kitanda cha master ghorofani kikiwa kimejaa ahadi na mahaba mazito, upande wa pili wa jiji, mambo yalikuwa ni tofauti kabisa.

Katika chumba kimoja cha nyumba ya wageni ya hali ya chini iliyopo eneo la Manzese, Eddy alikuwa amekaa sakafuni, akitwanga damu na jasho. Sura yake ilikuwa imevimba, jicho la kushoto likiwa limefungana kabisa kwa dhoruba ya vipigo. Mbele yake alikuwa amesimama Asha, akiwa ameshika mkanda mzito wa ngozi mkononi mwake, huku akipumua kwa hasira.

"Mbwa wewe! Umenidanganya kuwa ule mjengo ni wako, ukanifanya mimi mjinga mbele ya mashoga zangu! Alafu leo umeniponza, vijana wangu wamerudi wamevunjika magoti kwa sababu ya yule msela wa kijeshi!" Asha alifoka na kumtandika Eddy mkanda mwingine wa mgongo.

"Aiahhh! Asha naomba unisamehe... mimi sikuwa najua kama Tino anajua kupigana vile," Eddy alilia kwa unyonge, akijifuta damu mdomoni. Moyo wake ulijaa sumu kali ya kisasi. Alimchukia Tino kwa kumdhalilisha mbele ya Asha na kumnyang'anya Cynthia, mwanamke aliyekuwa anampa heshima mjini. "Asha, nitatuliza hili jambo. Tino ameniharibia maisha yangu na kunidhalilisha... naapa kwa jasho langu, lazima nilipe kisasi. Nitatafuta vijana wa hatari zaidi kutoka kambi ya mbali, lazima Tino aondoke kwenye ule mjengo akiwa kwenye jeneza, na Cynthia arudi miguuni kwangu!"

Eddy aliumata meno kwa hasira, akipanga mpango wa siri wa kumvizia Tino akiwa nje ya himaya yake ili kumaliza maisha yake kabisa.

---

**Katika Episode inayofata (Episode 17: Mtego wa Njiani):** Siku chache zinapita, Cynthia anahamia rasmi ndani ya mjengo wa Tino, maisha yao yakijaa mahaba mazito ya asubuhi na jioni sebuleni na jikoni. Lakini siku hiyo Tino anapotoka kwenda kuangalia moja ya miradi yake ya ujenzi jioni, Eddy na kundi lake jipya la majonzi wanamvizia njiani kwenye giza doro. Usikose **Episode 17** hivi punde!