✦ Matangazo ✦

Story Tamu

Episode 3

VITA VYA CHINI KWA CHINI

Mwanga wa asubuhi ulipoingia kupitia vioo vya jengo la Kioo Logistics, hali ya hewa ya ofisini ilikuwa tulivu kwa nje lakini yenye mripuko unaosubiri kutokea kwa ndani. Brenda aliingia akiwa amevaa gauni refu la rangi ya udongo lililomshika vizuri mwilini, lakini macho yake yakiwa yamefura kidogo kwa kukosa lalio la kutosha. Alitembea moja kwa moja hadi mezani kwake bila kumwangalia mtu yeyote.

Saa tiga kamili, Bwana Jackson aliingia ofisini akiwa amependeza na suti yake ya bluu iliyokolea. Alitembea kwa madaha na tabasamu la ushindi usoni mwake, akiamini alimfanya Brenda kuwa wake kabisa na kwamba binti huyo asingeweza kufanya lolote. Alipopita meza ya Brenda, alisimama kidogo na kutoa sauti ya chini yenye mamlaka.

"Brenda, lete ile ripoti ofisini kwangu mara moja."

Brenda alitingisha kichwa tu bila kuinua macho. Jackson alitabasamu kwa kejeli na kuingia ofisini kwake. Hakujua kuwa Kelvin, aliyekuwa amekaa kwenye kona ya kitengo cha IT, alikuwa akimkodolea macho ya chuki na dharau kubwa.

Jackson alipokaa kwenye kiti chake cha ngozi, alipiga kahawa kidogo na kuwasha kompyuta yake. Kabla hajafungua faili lolote, sauti ya taarifa ya barua pepe mpya (notification) ilisikika. Barua pepe hiyo ilitoka kwa anwani isiyojulikana (anonymous email), na kichwa cha habari kilisomeka tu: "KIOOLOGISTICSSAFETY_LOG.JPG".

Kwa udadisi, Jackson alibofya barua pepe hiyo. Moyo wake ulilipuka kwa mshtuko, na kikombe cha kahawa kilinusurika kumwagika mkononi mwake.

Kwenye skrini ya kompyuta yake, kulikuwa na picha dhabiti na iliyonyooka vizuri. Ilikuwa ni screenshot iliyotolewa kwenye video ya CCTV ya usiku uliopita—ikimwonyesha waziwazi Jackson akiwa amemlaza Brenda juu ya meza, nguo zikiwa zimeraruka, na yeye mwenyewe akiwa yuko katikati ya tendo hilo. Chini ya picha hiyo kulikuwa na ujumbe mfupi wa maandishi:

"Mchezo wako mchafu unajulikana. Ukijaribu kumfuta mtu kazi au kumgusa Brenda tena, video kamili yenye sauti inakwenda kwa Bodi ya Wakurugenzi na kwa mkeo nyumbani."

Jasho jepesi lilianza kumtoka Jackson kwenye paji la uso. Mikono yake ilianza kutetemeka huku akijaribu kufuta barua pepe hiyo, lakini hofu ilikuwa imeshamkamata. Alisimama haraka na kwenda kwenye vioo vya ofisi yake vinavyoangalia nje. Alitazama eneo la wafanyakazi, na macho yake yakakutana moja kwa moja na ya Kelvin. Kelvin alikuwa amemkazia macho huku akiwa ameweka mikono yake kifuani, akimpa tabasamu jepesi la dharau.

Jackson alielewa mara moja. Kelvin ndiye aliyekuwa na siri hiyo.

Hasira na wivu vilimpanda Jackson kwa kasi. Badala ya kuogopa, aliamua kutumia madarakani yake kumwangamiza Kelvin kabla Kelvin hajampindua. Alirudi mezani kwake na kumpigia simu Mkuu wa Rasilimali Watu (HR), Mzee Mvamba.

"Mvamba, njoo ofisini kwangu mara moja. Kuna utovu wa nidhamu na upotevu wa data za kampuni umetokea IT, na mtuhumiwa namba moja ni Kelvin. Nataka barua ya kumsimamisha kazi iwe tayari kabla ya saa sita mchana!" Jackson aliamuru kwa sauti ya ukali ili kuficha hofu yake.

Wakati hayo yanaendelea, Jackson alimtumia Brenda ujumbe wa maandishi kwenye simu: "Njoo ofisini kwangu sasa hivi. Na ujue mpenzi wako wa IT leo anaondoka kwenye hii kampuni!"

Brenda alisoma ujumbe huo, moyo wake ukaanza kudunda kwa kasi. Alisimama kwa woga na kuelekea kwenye ofisi ya Boss. Alipoingia ndani na kufunga mlango, Jackson alimfuata kwa haraka na kumshika mkono kwa nguvu, akimvuta hadi nyuma ya pazia zito la ofisi hiyo.

"Unadhani mchezo mnaocheza na Kelvin mtanishinda?" Jackson alinong'ona kwa hasira kali, uso wake ukiwa karibu kabisa na wa Brenda. "Ninyi ni wadogo sana kwangu. Kabla hiyo video haijafika popote, Kelvin atakuwa mtaani hana kazi, na wewe utabaki hapa ukitimiza kila nitakacho!"

Jackson alimshika Brenda kiunoni kwa nguvu na kumgandamiza kwenye ukuta. Brenda alijaribu kujinasua, lakini Jackson alimziba mdomo na kuanza kumkiss kwa hamaki shingoni, akipandisha gauni lake juu kwa kasi ili kuonyesha kuwa bado anao uwezo wa kumtawala. Brenda alijikuta akisisimka kwa hofu na mchanganyiko wa hisia zisizoelezeka wakati mikono ya Jackson ikipapasa mapaja yake kwa nguvu...


UTANGULIZI WA EPISODE 4: MBINU CHAFU ZA HR

Wakati Jackson akiendelea kumfanyia Brenda unyama wa kimya kimya ndani ya ofisi yake ndani ya Kioo Logistics, barua ya kumsimamisha kazi Kelvin inakamilika. Lakini Kelvin hapokei barua hiyo kinyonge; badala yake, anatumia mfumo wa ndani wa IT kufungia akaunti zote za benki za kampuni na kufuta mafaili muhimu ya Jackson. Vita inahama kutoka kwenye mapenzi na kuingia kwenye hujuma za kiuchumi za kampuni! Usikose kuendelea na Episode 4: Mbinu Chafu za HR.